Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Polisi mkoani Songwe linawashikilia viongozi watatu akiwemo mwenyekiti, balozi na Kaimu Afisa Mtendaji wa kijiji cha Maninga wilayani Mbozi kwa kushindwa kutunza hifadhi ya msitu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taarifa ya tukio kwa kirefu Kosa: Mauaji Mnamo tarehe 07/03/2017 saa 17.00hrs mtoa taarifa (ke), chaga, 30yrs, kibamba 24yrs, anaeleza kuwa majira ya saa 10.00hrs huko Kibamba alitumiwa meseji...
9 Reactions
104 Replies
24K Views
Nacheka kwa masikitiko sana, yani sasa Bunge litakua linachagua nini vyombo vya habari vionyeshe live na nini visionyeshe, halafu nchi hii inasema kuna uhuru wa vyombo vya habari, au ni "not to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jinsi ya kutawala Uchumi kipindi cha JPM by *Mr Erick J Shigongo* *1.MANTAIN FOCUS AND HAVE POSITIVE MENTAL ATTITUDE* -Pamoja na yote yanayotokea usibadilishe mtazamo wako wala ndoto zako...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Shughuli za kiuchumi katika mji mdogo wa Ipinda wilayani Kyela zimesimama kwa zaidi ya saa tano baada ya wananchi na wafanyabiashara wa mji huo kuandamana wakipinga vitendo vya uhalifu hasa mauaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Huyu mtu anategeshea magari yanayowahi kazini kabla ya saa 12:00 na kuyakamata kwa makosa ya kipuuzi 2. Anaweka lock up madereva kituoni zaidi ya masaa 10 bila sababu ya msingi na...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Wavuvi wengine kumi wameokolewa leo wakiwa hai na kufanya idadi ya wavuvi wote 53 kusalimika kifo baada ya boti yao ya uvuvi kupinduka ikiwa baharini. Akitoa taarifa rasmi msemaji wa mamlaka...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
Rejeleeni somo tajwa hapo juu. Katika pitapita mtandaoni nimeshangaa kuona kwamba kumbe ktk rank za dunia (current) tanzania tunazidiwa hata na Uganda na kenya !!? Lakini kiutaalamu sijaelewa...
2 Reactions
72 Replies
11K Views
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema ametishiwa kifo na kundi la watu asiowafahamu huku akidai kuwa watu waliomtumia ujumbe wa maandishi kupitia simu yake ya mkononi na...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
UTAPELI SACCOSS MIKWAMBE(KWA PINDA)KIGAMBONI Kuna utapeli umefanyika maeneo ya Mikwambe kwa PINDA Kigamboni, Wamejitokeza matapeli wanaotumia uelewa duni wa akina mama wanaohitaji mikopo midogo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Niko very stressed, almost nina zaidi ya wiki sijalala kwa mawazo. Usiku uliopita nimeamka Saa tano tu, niko macho hadi sasa. Niko ugenini, wenyeji wamenikaribisha nipate ahueni kidogo ya...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Huyo mwanamke ameokolewa kutoka baharini baada ya kujitupa kutoka kwenye boat leo wakati wakitokea Dar kuja Zanzibar. Tukio hilo limetokea maeneo ya Chumbe. Bado haijafahamika lengo na dada huyo...
14 Reactions
362 Replies
63K Views
Salamu waku Leo nakuja na mada ambayo imekuwa ikisumbua watu wengi sana na pia kusababisha watu wengi kuanguka chooni na kufa. Wengi wamekuwa mpaka wanasingiziana uchawi kwa majirani, la...
2 Reactions
49 Replies
8K Views
Habari wana JF, Naamini wote mu wazima poleni kwa kusoma namba , muda siyo mrefu mambo yatakuwa poa. Napenda kwenda kwenye mada! Wana JF, ningependa kupata maoni yenu kuhusu wageni (wasio...
0 Reactions
0 Replies
625 Views
Wana bodi, Habari za muda huu! Ni mara ya pili kwangu kuona makundi ya watoto wa shule za msingi, madarasa tofauti wamerudishwa nyumbani kwa kisa ambacho kilielezwa kuwa ni kufuata mchango wa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
JANA: Prof. Kitila Mkumbo (ACT). °°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°° "Huu utaratibu wa kuwateua wasomi tu ambao ni walimu na wanataaluma kutoka vyuo vikuu hasa Chuo kikuu cha Dar es salaam si mzuri...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
#mjumbehauawi# Kuna comment za watu huku zinashangaza sana, unaeza ukasoma post ya mtu alafu ukienda kweny comment labda 100 unakuta zaidi ya 70 ni ........ Ni utafiti mdogo nlioufanya bt naamin...
1 Reactions
3 Replies
664 Views
Mchungaji GODFREY WALALAZE; wa Makanisa ya KKKT Kaskazini, ana sifa za kuwa ASKOFU wa KANISA hilo. Wakati mwingine makanisa hayajui kuchagua bali yanafata upepo au maslahi. Watu makini na...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
*Pass on to the teachers you know.*[emoji108] Dedicated to all the teachers From A School Principal's speech at a graduation...... He said "The Doctor wants his child to become a doctor... the...
2 Reactions
0 Replies
473 Views
Back
Top Bottom