Zijue baadhi ya bei za body na mabus

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,186
9,288
Marcopolo Andare Class G6
Body likiwa na siti za 2x2 na AC ni tzsh mil_330,000,000/=
Ushuru tzsh mil_ 70,000,000/=
Jumla ni tzsh mil_400,000,000/=
Body la Andare Class siti za 2x2 bila Ac
Body ni tzsh mil _ 303,600,000/=
Ushuru ni tzsh mil_70,000,000/=
Jumla ni tzsh mil_376,600,000/=
Bei ya Body la Marcopolo Viaggio 1050 G7
Body likiwa na siti za 2x2 na Ac ni tzsh mil_ 347,600,000/=
Ushuru ni tzsh mil_70,000,000/=
Jumla ni tzsh mil_417,600,000/=
Body la Marcopolo Viaggio 1050 G7 likiwa na siti za 2x2 bila Ac ni tzsh mil_317,600,000/=
Ushuru ni tzsh mil_70,000,000/=
Jumla ni tzsh mil_387,600,000/=
Ac pamoja na kufungiwa ni tzsh mil_30,000,000/=
Choo unawekewa bure
Katika malipo unaweza kulipa kwa pesa taslim papo hapo (cash) au ukalipia nusu na inayobaki ikawa inalipwa kwa awamu yaani kwa Installments.
kusafirisha body kutoka Afrika kusini mpaka tanzania ni gharama ya mteja.
 
M

Mama ntilie nipe ukoko wa wali na maharage maana leo nina mia tano tu, ngoja nikae hapa niwasikie vibosile wanavyojadili hii hoja
 
Mkuu inamaana Yule mh mwenye magari mekundu ya moro dar ndio kachotwa mabilions..... Mana anayapangisha foleni ubungo na msamvu kibao tu...
 
Hayana viwango halafu mabati yake yanapiga kelele, hata AC hayana, seat zake ndiyo usiseme nyembamba hizooo
 
Marcopolo Andare Class G6
Body likiwa na siti za 2x2 na AC ni tzsh mil_330,000,000/=
Ushuru tzsh mil_ 70,000,000/=
Jumla ni tzsh mil_400,000,000/=
Body la Andare Class siti za 2x2 bila Ac
Body ni tzsh mil _ 303,600,000/=
Ushuru ni tzsh mil_70,000,000/=
Jumla ni tzsh mil_376,600,000/=
Bei ya Body la Marcopolo Viaggio 1050 G7
Body likiwa na siti za 2x2 na Ac ni tzsh mil_ 347,600,000/=
Ushuru ni tzsh mil_70,000,000/=
Jumla ni tzsh mil_417,600,000/=
Body la Marcopolo Viaggio 1050 G7 likiwa na siti za 2x2 bila Ac ni tzsh mil_317,600,000/=
Ushuru ni tzsh mil_70,000,000/=
Jumla ni tzsh mil_387,600,000/=
Ac pamoja na kufungiwa ni tzsh mil_30,000,000/=
Choo unawekewa bure
Katika malipo unaweza kulipa kwa pesa taslim papo hapo (cash) au ukalipia nusu na inayobaki ikawa inalipwa kwa awamu yaani kwa Installments.
kusafirisha body kutoka Afrika kusini mpaka tanzania ni gharama ya mteja.
Hiyo ni bei ya body tu?? Na vipi engine? Mpaka gari inapoingia barabarani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom