Kwa wataalamu wa jeshi: Hivi ni vyeo gani katika jeshi? Msaada wa hizi alama, nyota na vyeo

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,476
4,447
Makamanda wa North Korea katika moja ya gwaride lililofanyika Pyongyang.

Hawa makamanda wana nyota mpaka kwenye suruali ,

Shati lote limechafuka nyota na alama zingine

Je hawa mageneral wamefika hatua gani mpaka nyota na vyeo vyote hivyo

Mwenye uelewa wa vyeo vyote hizo atudadavulie

Au mbwembwe tu za hawa ndugu zetu North Korea

0339820b4f2d6e60296efd3fc504fac1.jpg
 
Hizo ni nishani tu
 
Nishani za unaa na Operation mbalimbali za kijeshi walizozifanya.
 
Yan had pa kuweka nyinginehapapo
[quote uid=422595 name="kizwezwe" post=20583343]si wamchezomchezo na inaonekana hawana furaha usoni yaani wanasubiri amri tu[/QUOTE]<br />Kikawaida nishani huwa ni kama tuzo, afadhali hapa tanzania cc nyingine zimeexpresiwa kwa viji rangi tu
 
Haijawahi kutokea kuwa na medals kiasi hicho.
Miaka ya nyuma walisambaza mitandaoni picha kama hizo lakini medals zilikuwa sio nyingi hivyo.
Wameongeza (fake)
 
....ndugu zetu North Korea! Ndugu zetu Zanzibar, na mambo si shwari, je hawa wa mbali?
 
Sio kwamba wamenuna la hasha!! Wana medali hadi mdomoni zinawazuia kucheka wala kutabasamu hapo za kwenye t@k.. bado
 
Hai ni makamanda kutokea mamlaka za Pyongyang ...vyeo mpaka kamanda anapepesuka akitembea.
 
Back
Top Bottom