wauza Ngada Mwafaa
Senior Member
- Mar 25, 2017
- 158
- 224
Lowassa alisafishwa, Wema alisafishwa, Sumaye alisafishwa na Kingunge alisafishwa kutoka kuitwa mganga wa kienyeji hadi kuwa Babu wa mabadiliko nchini.
BAVICHA walisugua kwa kila aina ya sabuni hadi hao wazee waliowaita wachafu na mafisadi kwa miaka 8, wakaonekana wasafi kiasi cha kutaka kupewa Ikulu.
Je, itakuwaje Bashite akihamia CHADEMA?
BAVICHA kwa amri ya Mbowe wataingia tena kazini kusafisha walichokichafua wenyewe?