Majambazi yenye silaha za moto yapora Sinza Kumekucha, Kijiweni, White Inn

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
Habari wakuu,

Majambazi yenye silaha za moto na usafiri wa pikipiki usiku huu yametembelea vibanda ya pesa kukusanya mapato ya leo.

Nikiwa mita chache na kibanda ya pesa (max malipo,tigo,voda etc) yalikuja majambazi na kumuamuru aliyekuwa kwenye kibanda atoe pesa zote, ndani walikuwepo watatu...walipogoma ndipo majambazi yakafyatua risasi juu. Nilikuwa nimembeba mwanangu, nilichomoka vibaya sana.

Baada ya kukusanya hapo yakahamia Sinza Kijiweni karibu na Bar ya Delux, nasikia hapo yamejeruhi mtu kwa risasi.

......................Updates..................

hantouch said, Wamepita hadi hapa jirani na T Garden wamefanya yao wamesepa.

La mujar said, Delux wamechukua hela na alietoa hela eti kajifanya kuita weziiii, akapigwa risasi ya mguu. Wakahamia wait in wamechukua kiasi chao wakasepa.

Ni wamezikusanya kwelikweli.

mjasiriamalidzamani said, Pale Delux wakati shaba inalia ndio nilikuwa napita, yaani ghafla palikuwa peupe unaona watu wanakimbia tu. Kwa style ile sidhani kama majambazi yanaweza kukamatwa coz hakuna raia hata mmoja mwenye ujasiri wa kuwaangalia majambazi wakifanya yao.

mnzese said, Wamepita na hapa Sinza White inn kuna pub zinaitwa Shikamoo na Marahaba wamekusanya vyao, muhudumu wa Marahaba kagoma wakampasua mapokezi kwa chupa pakapasuka kisha wakapiga moja hewani ya kutuaga aiseee!!!

Dola Iddy said, Wamepita hapa Vatcan Ushirombo wamewalaza wanywa bia wote chini wakachukua pesa zote counter, wameelekea Kahama.

Nipo hapa mtaani tukijuzana yaliyotokea jana, nasikia wameua wawili na kujeruhi. Usiku imepigwa doria ya nguvu sana.
 
Habari wakuu,

Majambazi yenye silaha za moto na usafiri wa pikipiki usiku huu yametembelea vibanda ya pesa kukusanya mapato ya leo.

Nikiwa mita chache na kibanda ya pesa ((max malipo,tigo,voda etc) yalikuja majambazi na kumuamuru aliyekuwa kwenye kibanda atoe pesa zote, ndani walikuwepo watatu...walipogoma ndipo majambazi yakafyatua risasi juu. Nilikuwa nimembeba mwanangu, nilichomoka vibaya sana.

Baada ya kukusanya hapo yakahamia Sinza Kijiweni karibu na Bar ya Delux, nasikia hapo yamejeruhi mtu kwa risasi.
Nduki kama harmorapa
 
Police tumewakatisha 'mood'sisi raia, wanakesha kulinda mali zetu na maisha bt from no where police akifa raia tunafurahi unategemea nn hapo! Tufe tu na hata mali zichukuliwe tu na hawa majambazi coz wa tz akili zetu tunazijua wenyewe.
Policcm wanafanya kazi kwa remote....[HASHTAG]#hawana[/HASHTAG] mood saiz.
Polisi sikuizi hawanaga muda na majambazi.

Wao nikuteka
Kukamata wauza mirungi
 
Police tumewakatisha 'mood'sisi raia, wanakesha kulinda mali zetu na maisha bt from no where police akifa raia tunafurahi unategemea nn hapo! Tufe tu na hata mali zichukuliwe tu na hawa majambazi coz wa tz akili zetu tunazijua wenyewe.
Waache kazi sasa
 
Delux wamechukua hela na alietoa hela eti kajifanya kuita weziiii, akapigwa risasi ya mguu. Wakahamia wait in wamechukua kiasi chao wakasepa.

Ni wamezikusanya kwelikweli.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom