Mtatuua,mtatutesa lkn nanyinyi mtakufa tu

vevenononombo

JF-Expert Member
Jun 19, 2015
1,289
420
Uonevu ni mbegu mbaya sana,watu wanatekwa wenye mamlaka wako kimya,watu wanauliwa wakubwa wanafumbia macho lkn tambueni hata nyinyi siku yenu ipo
 
Uonevu ni mbegu mbaya sana,watu wanatekwa wenye mamlaka wako kimya,watu wanauliwa wakubwa wanafumbia macho lkn tambueni hata nyinyi siku yenu ipo
kiburi cha mwanadamu huwa hakumbuki kuwa pumzi yake imeshikiliwa na Mungu,kufumba na kufumbua watajikuta wapo kuzimu. Mungu ashuke kuwaokoa Watanzania sasa.
 
Back
Top Bottom