Usanii ni tasnia ya kitaaluma na ajira kama nyingine za uhandisi, uwakili, upishi, ufamasia, udereva, upolisi na ualimu. Lakini wasanii wao wametokea kufanywa ni privileged profession.
Kitendo cha waziri wa utamaduni au makamanda wa polisi kuitisha press conference kwa kutekwa wasanii kinaleta ukakasi kwa wale ambao tunadai serikali kutoa huduma sawa kwa watu na tasnia zote. Serikali haitakiwi kuisaidia taaluma fulani kujikweza. Acha wafanye hivyo wenyewe.
Hivi Engineer akipotezwa waziri wa ujenzi ambae ndio mlezi wao anaitisha press conference? Mhasibu akipotea waziri wa fedha atatoa statement ?
Wasanii wana u -special gani wao katika jamii, hasa ukizingatia kwamba hawahangaiki kulazimiki kwenda shule yeyote ku qualify kuitwa msanii kisheria? Kwa nini wanabebwa mbeleko kihivyo?
Utasikia oooh, sanaa na wasanii ni kioo cha jamii. Lakini maisha yao ni a far cry from jamii ya Kitanzania: ufuska, uteja wa madawa, usharobaro wa masikini kapata, kurusha pornography zao kwenye mitandao, na wengine kujifanya hawajui lugha yao, hata wale wanaotokea Tandale kwa Mtogole.
U-special wao unatoka wapi hawa watu?