Niombe tupeane elimu kwanza kabla hatujaitimisha:
Kimataifa inasemekana mipaka katika maziwa huwa katikati na ndivyo walivyofanya wakoleni kuweka mipaka katika ziwa Victoria na ziwa Tanganyika lakini ziwa Nyasa hawakufanya hivyo na ndio maana sasa hivi kuna msuguano.
Nielimisheni ni kwanini hawakufanya hivyo?