Kama kawaida Hussein Bashe Katawala front Page Roma katupwa na Mwakyembe Back Pages

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819
Nashukuru waandishi wa Habari wamejua kazi zao kwa Sasa Magazeti naona yakijiendesha kama Magazeti ya

New York Times, The Washington Post, The Guardian, The Telegraph, Daily Mail, L'Alsace-Le Pays, Le Berry Républicain, Le Bien Public, Charente Libre, Journal de la Corse, Le Courrier Picard, Le Dauphiné Libéré.

Au

La Repubblica, Corriere della Sera, Fatto Quotidiano ,Sole 24 Ore. El Nuevo Dia, Primera Hora ,La Opinion,El Nuevo Herald, El Visitante Catolico

Hayo ni Baadhi tuu ya Magazeti ninayoyapenda yaanaandika Bila Uoga.

IMG_5145.JPG

IMG_5146.JPG

IMG_5147.JPG

IMG_5148.JPG

IMG_5150.JPG

IMG_5149.JPG
 
Habari za mwakyembe lazima zikae upande wa michezo ndio wizara yake. Ila watanzania wa siku hizi bana kumbe hadi magazeti mnayapangia habari za kuweka na kutoziweka aiseee siasa mbaya
 
Walijua ya Roma ilikuwa movie, ili watu waamini ilibidi wawafinye kidogo
 
Habari za mwakyembe lazima zikae upande wa michezo ndio wizara yake. Ila watanzania wa siku hizi bana kumbe hadi magazeti mnayapangia habari za kuweka na kutoziweka aiseee siasa mbaya
We jamaa vipi! Yaani kutekwa ni habari ya magazeti ya michezo!? Kubali habari imesusiwa kiana fulani hivi
 
Mie sio jamaa,huo ndio ukweli aliyetekwa ni msanii na aliyoyaongea waziri yanahusu wizara yake upande wa michezo ndio mahala husika
We jamaa vipi! Yaani kutekwa ni habari ya magazeti ya michezo!? Kubali habari imesusiwa kiana fulani hivi
 
Back
Top Bottom