Roma na kisa cha mtoto aliyetekwa/ibwa na kutupwa eneo la mji mkuu wa UNUNIO

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,035
164,307
Iliwahi kuripotiwa na vyombo vya habari EA radio au Clouds tukio la mtoto aliyeibwa na kutupwa ktk makaburi ya ununio yajulikanayo kama mji mkuu wa ununio.Wezi wa mtoto wakiwa na pikipiki walipaki pembeni ya barabara yalipo makaburi na kutupa mfuko wa sandarusi ambao alikuwemo huyo mtoto.Makaburi hayo yapo kando ya barabara na kwa bahati kuna gari ilikuwa inakuja nyuma so jamaa wakashuka kuangalia mzigo uliotupwa ni nini maana ilikuwa ni saa 11 jioni, wakakuta mtoto analia.Wakaenda kuripoti Serikali ya mtaa ambapo viongozi walienda eneo la tukio na kumchukua mtoto.Hatimaye baada ya siku kadhaa mama wa mtoto alipatikana na kusimulia kisa hiki redioni lakini naye alishindwa kuelezea sababu za wale wezi kumuiba mtoto na kisha kumtupa bila kumdhuru.Sasa nimejiuliza UNUNIO kunani na je kina Roma walipitaje kwa miguu eneo la jeshi pale kunduchi usiku wa saa 9 bila kukamatwa!Na kiukweli kutoka njiapanda ya Mahaba beach au Mahaba beach kwenyewe maana kote kuna vibao, hadi kunduchi ni umbali mrefu sana hivyo tumshukuru Mungu kwa kuwalinda vijana na ilikuwa ni haki na wajibu kupiga ishara ya msalaba kama Roma alivyofanya mara tu baada ya ukombozi.Anyway bado namtafuta Rais wa Ununio mh Dallas anidadavulie kunani pale kijijini kwake ununio.Poleni sana wahanga kina Roma!Mods nategemea kuleta mrejesho kutoka kwa wanakijiji so msiunganishe hii thread please!
 
ununio!!! MTO ruvu!!! mabwepande!!! acheni midomo, hata marekani wana Guantanamo!!!
 
Roma Usoni hakupigwa hata Kofi? Hata makovu anayatafuta yeye mwenyewe hajui yalipo!
 
Back
Top Bottom