emmanuel mhecha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 933
- 543
Wandugu kwa mtizamo wangu gharama ya kutafuta Ugali ni Ndogo sana kuliko gharama ya kutafuta haki,ukiwa mwenye familia inayokutegemea zingatia kutafuta Ugali wa familia vinginevyo familia yako ndio itasumbuka na siyo jamii,jamii itakuwa na story tu,