Arusha equity bank wanapatikana wapi?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,612
4,713
Hii benki nimekua nikiisikia.muda sasa
Kwa hapa arusha wanapatikana wapi kwa sisi tuonaoishi Usa-river tutawapataje?Au tutawafikiaje?
 
Arusha French kona.... kwenye mataa ya kwenda unga limited na opposite n.a. crdb arusha branch
 
Kama unatokea usa shukia kona ya florida nyooka na njia ya stadium mpk uhuru road,then uliza kwa mtu utaoneshwa.
 
Arusha French kona.... kwenye mataa ya kwenda unga limited na opposite n.a. crdb arusha branch
mm si mwenyeji W arusha kivile mkuu kwa mtu nayetokea huku arumeru nikipanda ice za kilombero nikishashuka kilombero pale pana umbal?
 
mm si mwenyeji W arusha kivile mkuu kwa mtu nayetokea huku arumeru nikipanda ice za kilombero nikishashuka kilombero pale pana umbal?
shuka kilombero omba uoneshwe barabara ya sokoine then tembea mpaka kwenye mataa(friends corner) hapo hapo ulizia ama bila hata kuulizia utaiona.
 
ipo kwenye hilo jengo jeupe
arusha_trade_centrekaribu-1364593001-202-e.jpg
IMG-20161125-WA0061.jpg
 
Panda Gari kuelekea Arusha Mjini. Ukifika tu mianzini mataa mwambie konda akushushe kona ya florida. Chukua toyo ya buku hadi Friends Corner/ Jengo la Nyari. Pembeni yake pana Kampuni ya Pergamon tunauza mashine za TRA za Risiti karibu sana.
 
Back
Top Bottom