Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Pamoja na kwamba tukio la kuuawa kwa askari polisi huko mkoani Pwani ni baya na la kusikitisha, kumekuwa na taarifa kwenye vyombo vya habari kwamba washukiwa wanne wameshauliwa na jeshi la polisi...
21 Reactions
162 Replies
14K Views
Hivi karibuni kumeibuka hali inayoitwa ya sintofahamu kuhusiana na sakata la nape kuonyeshwa silaha na mtu aliyetokea kwenye mkutano wake. Watu wengi walilichukulia hili tukio kisiasa zaidi na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Huu mkoa umekaa kama pweza yaani umetawanyika, kiasi kwamba hata kuichora ramani yake inakuwa ngumu kidogo ukiwa Dar barabara zote kuu zakutoka mkoani zinapita mkoa wa pwani ie kusini kuna kilwa...
16 Reactions
64 Replies
17K Views
Nimekuwa nikichunguza kwa kina uongozi uliopita nichokigundua kuna system kubwa yenye mamlaka ya urais duniani au hapa nchini. Tizama picha hii Mlinzi wa mheshimiwa Rais msataafu Dk.J.K.MRISHO...
2 Reactions
39 Replies
12K Views
Wataalam wa magari msaada kichwa hapo juu chahusika
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za mida hii Wadau,kimvua na kibaridi hiki kimenikuta katika wakati mzuri Sana baada ya kupata kabinti flan kakunifariji Kwa siku zote hizi za holiday nikijipimia mwenyewe Kwa kifurushi...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Aisee... hii naiona mimi tu pekee au kuna wengine waionavyo kama mimi...[emoji15] . Kwa siku nyingi nimekuwa mfatiliaji sana wa picha/video mbalimbali zinazokuwa zikirushwa kwenye media...hasa...
0 Reactions
1 Replies
757 Views
MWILI wa aliyekua Mwandishi wa habari Josephat Isango unatarajiwa kuzikwa siku ya Jumanne, saa nne asubuhi nyumbani kwao Kisasida mkoani Singida. Marehemu Isango alifariki dunia jana mapema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu wana Jf. Naombeni ushauri wa kozi ya kusoma Kati ya postgraduate diploma in Electronic engineering and information technology au postgraduate diploma in scientific...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuongoza nchi si kitu cha mchezo akili nyingi inahitajika ili kuweka mambo sawa. Profesa ni mtu mwenye akili nyingi kwaiyo kigezo kikiwa raisi wa nchi lazima awe profesa labda matatizo mengi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawataarifu Wateja wake na Wananchi kwa ujumla kuwa, kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ni muhimu kuchukua tahadhari kwa:-...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hello JF, leo nimewaza labda tusipewe misaada in monetary form,........ kama tuna shida ya madawa,tuombe madawa sio hela,.......... kama tunahitaji kutengenezewa bara bara,ama computers for...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wadau kwa wenzangu wakristo hivi tunaanza kufungua lini kama ulifunga arubaini ya kwaresma
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwanamuziki wa injili, Amani Mwasote ahukumiwa kifungo cha miezi 6 jela kwa kumuita mtoto mchawi katika mkutano wa injili uliokuwa ukifanyika katika moja ya maeneo ya mkoa wa Mbeya.
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Umoja wa kizazi cha kuhoji Tanzania (UTG) umewasilisha malalamiko kwenye Tume ya Haki za binadamu na Utawala Bora kwa ajili ya kushughulikia matukio ya watu kupotea, kuteswa na wengine miili yao...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nilikuwa naangalia wimbo wa Chameleone wa Wale Wale nikugundua kuwa viongozi wote wa eneo letu wana majina yanayoanza na "K." Kuna mahali aliiimba Kaguta, Kikwete, Kenyata, Kabila, Kagame...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarin Wakuu,mwenye kuuza hiyo adaptor nahitaj anipe na bei Sh ngap? Niko dar
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ukisikia uonevu wa polisi Tanzania basi hii hapa ni ya mwaka! Chama cha CCM inabidi ijipange kuhususiana na watendakazi wake. Raia hawatawavumilia tena. Kesi za uonevu na unyanyasaji zimezidi! ...
9 Reactions
128 Replies
17K Views
Mnamo tarehe 3 Machi- 5/machi 2017 akaunti yangu ya tigo pesa ilisomeka nimemnunulia mwenye simu namba 0652013412 vocha. za jumla sh.8000/- nashituka tayari aliisha ramba. Sikuiwekea akaunti hii...
1 Reactions
3 Replies
868 Views
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, Nsato Marijani ameongea na waandishi wa habari mchana huu na kutolea ufafanuzi tukio la mauaji ya Askari Polisi 8 lililotokea jana jioni huko...
8 Reactions
116 Replies
18K Views
Back
Top Bottom