TANESCO: Tahadhari kipindi hiki cha mvua

TANESCO

Official Account
Jul 12, 2014
4,600
2,129
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawataarifu Wateja wake na Wananchi kwa ujumla kuwa, kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ni muhimu kuchukua tahadhari kwa:-

Kutokufanya shuguli za kibiashara karibu na miundom
binu ya umeme
Kutokukaa karibu au katika miundombinu ya umeme
Kutokufanya shughuliza kilimo, michezo katika miun
dombinu ya umeme
Kutokugusa nguzo zilizoanguka ama nyaya zilizokatika

Tafadhari toa taarifa Ofisi ya TANESCO iliyokaribu, ama kupitia namba za simu zifuatazo
Kituo cha Huduma ya Miito ya Simu (+255) 22194400 or (+@55)768 985 100

Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO TANESCO MAKAO MAKUU.

TAHADHARI KIPINDI CHA MVUA.jpg
 
Back
Top Bottom