Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mh. Rais pole kwa majukumu ya kila siku kiongozi wangu. Niwe wazi kwamba mimi ni miongoni mwa watanzania wengi walioshtushwa na kusikitishwa na mauaji ya kikatili ya askari pili wanane huko...
0 Reactions
4 Replies
975 Views
Leo nikiwa natoka Arusha kwenda moshi dereva aliyekuwa akiendesha gari letu alipigwa faini kwa kuendesha spidi 56 mahala pa Spidi 50. Nilimuonea huruma kwa sababu hamna gari inayoonyesha spidi...
4 Reactions
68 Replies
11K Views
JAYANTILAL Keshavji Chandelier (Sir Andy Chande), amefariki dunia wiki iliyopita. Kwa vyovyote vile, na kwa sababu yoyote, huu ni msiba mkubwa kitaifa. Huyu ni mtu ambaye alikubali kulitumikia...
4 Reactions
58 Replies
6K Views
Msaada wakuu nataka kufika hapoTanzania Commission for Universities(TCU)
0 Reactions
29 Replies
9K Views
WAZIRI wa mambo ya ndani ya nchi,Mwigulu Nchemba,amesema hawatokubaliana na mtandao,kundi ama mtu anaehusika na kugharimu maisha ya askari ama wananchi wasio na hatia. Aidha amebainisha kwamba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hali yazidi kuwa tete. Hizi habari sio njema sana na ni pigo kubwa sana kwa nchi ya viwanda tuitakayo. Habari kutoka jikoni zinasema kuwa kampuni ya uzalishaji wa vinywaji baridi ijulikanayo kama...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
wakuu kesho naenda zanzibar kutembea tyu nipo na girlfrnd wangu sehem gan nzur ya kufikia kwajil ya malaz naeza kufikia ya bei ya kawaida kuanzia 10,000,15000,na 25000 ntakuwa huko kwa siku 3...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Tukio hilo limetokea usiku wa saa nane katika Kituo cha Polisi Kimanzichana ambapo askari walikuwa lindo. Wakaja watu kama wanne hivi kwanza wakiwa na mwenzao ana bandeji akijifanya majeruhi...
1 Reactions
140 Replies
24K Views
Habari Wana Jf! Ni barabara gani rahisi ambayo haina usumbufu na rahisi kufika Tanga Kutokea Musoma. (1) Musoma~serenget~ngorongoro~arusha~moshi~ Tanga. (2) Musoma~ Mwanza~ Shy~ Sngda~ Arsha~...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Idara ya kilimo,mifugo na ushirika wilaya ya Makete nashindwa kuielewa kabisa. Kila OC ikiingia matumizi yake sijui yanaelekea wapi? Inasemekana kuna pesa iliwahi kupigwa na idara ikabaki na deni...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kwanza nitamke kuwa nimesikitishwa sana na tukio la kuuawa kwa askari polisi wetu wanane huko mkoa wa Pwani. Niwatakie familia zao faraja itokayo kwa Mungu katika mapito haya ambayo sii mepesi...
4 Reactions
71 Replies
8K Views
Husika na kichwa cha uzi hapo juu, nahitaji kiwanja chenye ukubwa wa 20 kwa 20 maeneo ya Kivule. Mwenye nacho anitaarifu. Madalali tulieni uzi hauwausu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. DAUDI ALBERT BASHITE kuvamia na kubaka free flow of mass media 2. Kutenguliwa uwaziri kwa mheshimiwa Nape Mp wa jimbo la mtama pamoja na kutishiwa na silaha na mtu ambaye serikali imeshindwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa kile nilichokishuhudia jana na leo wakati nahangaika kutumia huduma ya mtandao TCU na NACTE nalazimika kusema TCRA na serikali yetu kwa ujumla imezidi tambo na mbwembwe zisizo na tija...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wengi wa Wanafunzi ama waliopo au hata wale waliomaliza kusoma Vyuo Vikuu na sasa wapo Makazini ni kwamba hawakupitia mfumo wa Elimu uliozoeleka ambao ni wa kumaliza Form Four kisha kwenda Form...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Prof. Eliuti Mwageni, ambaye ni Kaimu Katibu Mkuu wa TCU, leo usiku kupitia kipindi cha jungu kuu TBC Taifa, redio; Amesema walio kuwa na tatizo na vigezo vya kuingia vyuoni ni kasoro ndogo...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
kuna technology mpya na rahisi ya utengenezaji magari, watanzania tuanzishe hii miradi tuanze kutengeneza magari yetu wenyewe kwa kununua "car assembly plants" [Hot Item] Car Production Assembly...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pole na Majukumu ya ujenzi wa Taifa Mhe. Rais Nina ushauri mdogo kwako kama kiongozi wangu wa Nchi, na nishukuru mitandao ya kijamii kunipa hii fursa. Naomba nijikite kwenye swala la "MTU...
52 Reactions
146 Replies
18K Views
Amani kwenu wanajamvi, Mwenzenu najiuliza hili swali jibu sipati. Waajiriwa hasa wa serikali ndiyo walipa kodi waaminifu zaidi hapa Tanzania, lakini kwa nini hawana ile namba inayotolewa na TRA...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom