sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,675
Hivi karibuni kumeibuka hali inayoitwa ya sintofahamu kuhusiana na sakata la nape kuonyeshwa silaha na mtu aliyetokea kwenye mkutano wake.
Watu wengi walilichukulia hili tukio kisiasa zaidi na baadhi ya wabunge wanalizungumza hadi unaona hawana hoja.
Ukiangalia clip anaonekana mtu akimfuata nape akiwa hana hata fimbo.. Nape alitaka kujua ye ni nani na ndipo alipotoa silaha kama alama ya mwana usalama yeyote..hata kwenye mabenki polisi wameshika silaha.
Kwa uoga wa nape akadhani ametishiwa..na Jamaa alichofanya si kumnyooshea, alimuonyesha na kuirudisha haraka ilipokuwepo.
Nape akiwa na hasira za kutoswa uwaziri cheo alichoamini ni Mali yake na malipo kwa kazi ya kampeni aliyoifanya ambayo alilipwa na kutajirika kwa kiwango kikubwa alianza kupiga kelele na kudai katishiwa..
Hivi tulioona ile clip tujiulize, je nape alitishiwa silaha au alionyeshwa silaha baada ya kutaka kujua yule ni nani??
Je mtu anayetishia silaha anasubiri aulizwe au anafika na kuitoa bila kuulizwa chochote?