four eyes
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 905
- 1,406
Habari za mida hii Wadau,kimvua na kibaridi hiki kimenikuta katika wakati mzuri Sana baada ya kupata kabinti flan kakunifariji Kwa siku zote hizi za holiday nikijipimia mwenyewe Kwa kifurushi kisichochacha mpaka pale holiday hii itakapokata
Kutokana na utamu WA haka kabinti kwakwel nimejikuta nikitaka kujua ni vitu gani vinawafanya viumbe pendwa Hawa kutofautiana ladha ya maeneo Yao ya kutoa faraja?je ni maumbile ya eneo husika?,maumbile ya mhusika mwili mzima,ufundi WA muhusika?au nini hasa.
Nauliza hivi kwani sio suala LA siri kwamba Kuna utofauti WA mautamu ambayo yanapatikana kutoka Kwa binti mmoja mpaka mwingine.
Karibuni Wadau tushee aidia kuhusu hili suala pendwa ili tupunguze sitiresi za kutekwa nakadhalika.