Zoom ya Macamera man ni kwa wazuri..

Malingumu

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
616
429
Aisee...
hii naiona mimi tu pekee au kuna wengine waionavyo kama mimi...

.
Kwa siku nyingi nimekuwa mfatiliaji sana wa picha/video mbalimbali zinazokuwa zikirushwa kwenye media...hasa katika Habari kwenye vituo vya televisheni au popote pale penye mkusanyiko wa watu wengi na media zikiwapo...
Mara nyingi ukiangalia utakuta kuna vipande vya ujumla lakini vipo vile vya ku'Zoom'...nilichokiona ni kuwa mara nyingi wanawake hasa wazuri wamekuwa wakizumiwa sana ....mpaka najiuliza ni kwa nini Zoom nyingi ni za wanawake wazuri...
Waandishi mna nini na wanawake wazuri...!!! hamuoni kuwa na wale wengine mnawanyima haki ya kuonekana??..!!!!.
 
Back
Top Bottom