MBEYA: Mwimbaji wa Injili Jela miezi 6 kwa kumuita mtoto mchawi katika mkutano wa injili

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,621
8,411
Mwanamuziki wa injili, Amani Mwasote ahukumiwa kifungo cha miezi 6 jela kwa kumuita mtoto mchawi katika mkutano wa injili uliokuwa ukifanyika katika moja ya maeneo ya mkoa wa Mbeya.
 
Mambo ya uchawi hayana Ushahidi kisheria

Naye muimbaji kaanzaje uzushi .....hajui uchawi hauna evidence!...
 
Naipongeza mahakama kwa hukmu nzuri hawa watu wanapotosha sana jamii na wapo wafuasi wao wana wamini hivi unavyomwita mtoto mchawi je watu wakimuua kwa iman yeye n mchawi? mtu mzma kwel ukamwite mtoto mchawi tena mbele ya umat wa watu? Huyu mtu alipaswa kupata hata kfungo cha miaka 20 maaana angesababsha mauji mabaya sana na uchonganisha...sio waganga wanao piga ramli peke yao wachongansh hata hawa wanajiita wao watu wa dini ni wachonganish sana nashangaaa serikali imewanyamazia
 
yan umeongea kweli tupu Mkuu....
 
Hapana, yeye kaimba nyimbo hizi;
-Kila mtu ana kwao
-Naona moto unashuka
-Nimebarikiwa
-Tutembelee.
Yuko vizuri sana kiroho , ndo vile mwanadamu hukabiliwa na hisia na changamoto nyingi.
Daah! Nafikiri ibilisi ameamua kumchafua kwa njia hiyo.
 
kuna nyimbo moja ya mwasote naipenda sana album ya kwanza nadhani Inaitwa namshukur mungu kama unayo nitumie
 
Hapana, yeye kaimba nyimbo hizi;
-Kila mtu ana kwao
-Naona moto unashuka
-Nimebarikiwa
-Tutembelee.
Yuko vizuri sana kiroho , ndo vile mwanadamu hukabiliwa na hisia na changamoto nyingi.
ebwana ile ya namshukuru mungu haleluyaa kama unayo please nadhni album ya kwanza.
 
Back
Top Bottom