Ni kweli ni mawazo yangu ila zaidi ya hayo nilitaka kujua nchi zilizo/zinazoongozwa na profesa.Hayo ni mawazo yako
Kusoma sana sio kuwa na akili sana
Jiulize kwanza; Kuna professa gani aliefauru saana kimaisha, maana wengi wana maisha ya kawaida2.
Na matajiri wengi sana ni wa2 ambao hawajasoma au hawajasoma sana
Zamani tulikuwa tunaambiwa tusome mpaka tukute kibao kimeandikwa mwisho wa elimu (professor) kumbe hiki kipimo ni fake?Ndio leo nasikia kwako kuwa professor ni mtu mwenye akili dunian..
Kuna watu wanaufahulu wakutosha tu kwa kila hatua au level ya elimu waliyopitia, ila wamelizika na tunao mahofisin na ni wabunifu na mahili kwenye maeneo yao..
Ebu fikilia kama Prof Muhongo, Tibaijuka, Ndalichako na wengine wengi tu hapa Tanzania...
Washawahi kufanya maamuzi mamgapi na wakakosolewa na watu wenye akili ndogo????..
Rejea kauli ya Ndalichako ya form 6 kwenda chuo kikuu na sio diploma, rejea maamuzi aliyofanya ya walimu walio adhibu mwanafunzi kule Mbeya sec n.k..
Ndio utajua ma proffessor ni watu gani?
Kwa haraka haraka sijapata tofauti sahihi kukueleza. Ila pitia hapa wamefafanua zaidKuna tofauti gani kati ya intelligent na intellects.