Utofauti toyota gx110 na Toyota gx115

Zote nilishawahi kuwa nazo na sijaona tofauti kwakweli..japo gx 115 ilikua na 4 wheel afu spea zake ilikua shida kuliko gx110. Nadhani baada ya gx115 ndo zikaja mark x
 
Back
Top Bottom