Stream line
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 393
- 239
Mnamo tarehe 3 Machi- 5/machi 2017 akaunti yangu ya tigo pesa ilisomeka nimemnunulia mwenye simu namba 0652013412 vocha. za jumla sh.8000/- nashituka tayari aliisha ramba. Sikuiwekea akaunti hii pesa tena hadi tarehe 13/4/17 leo nacheki namba nyingine 0656181975 inajitambulisha kama Nani Tigo Pesa Buku (true caller) aliisha ramba sh. 1000/- saa 1842. Na saa 1411alikiwa ameramba sh. 650/-. Napiga Tigo huduma kwa wateja hakuna mhudumu wa kusema naye ila mitambo tu. Utagundua wizi huu iwapo tu utaomba statement fupi. kwani haina marejeo. mf. tigo pesa imethibitisha...hii ni hatari mno.