Jiografia ya mkoa wa Pwani (physical security) siyo nzuri kiusalama

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,277
1,121
Huu mkoa umekaa kama pweza yaani umetawanyika, kiasi kwamba hata kuichora ramani yake inakuwa ngumu kidogo ukiwa Dar barabara zote kuu zakutoka mkoani zinapita mkoa wa pwani ie kusini kuna kilwa road ambapo pwani inaanzia mbele kidogo ya kongowe, kaskazini kama sikosei pwani inagawanyika, kuanzia pale kibaha mizani mpaka kuelekea bwawani (morogoro road)yote ni mkoa wa pwani, ambapo ukifuata hii barabara ya segera pwani inaenda kupakana na mkoa wa Tanga nadhani ni daraja la kuingia mkata, ukija nyerere road pwani ni kisarawe ambapo chanika ni Dar ea salaam, haya ukipita bagamoyo road pale mbele ya boko kuna daraja la mpaka wa Dar na Pwani, makao makuu ya mkoa ya mkoa yako kibaha. Ambapo ili mtu wa kibaha afike baadhi ya maeneo ya mkoa huu ni lazima apite katikati ya Daresalaam. Ushauri wangu huu mkoa ungekuwa absorbed na mkoa wa Dar ukizingatia mkoa wa Dar ni miongoni mwa mikoa midogo, kutoka katikati ya mji huwezi kutembea zaidi ya kilometa arobaini utajikuta tayari uko mkoa wa pwani ila mikoa mingine unakuta wilaya hadi hadi wilaya ni takribani kilometa 200.
 
Hahaaa hakika mkuu huu mkoa unaleta mkanganyiko binafsi hua napata shida kuijui jiografia yake pweza in shape,...
 
Huu mkoa umekaa kama pweza yaani umetawanyika, kiasi kwamba hata kuichora ramani yake inakuwa ngumu kidogo ukiwa Dar barabara zote kuu zakutoka mkoani zinapita mkoa wa pwani ie kusini kuna kilwa road ambapo pwani inaanzia mbele kidogo ya kongowe, kaskazini kama sikosei pwani inagawanyika, kuanzia pale kibaha mizani mpaka kuelekea bwawani (morogoro road)yote ni mkoa wa pwani, ambapo ukifuata hii barabara ya segera pwani inaenda kupakana na mkoa wa Tanga nadhani ni daraja la kuingia mkata, ukija nyerere road pwani ni kisarawe ambapo chanika ni Dar ea salaam, haya ukipita bagamoyo road pale mbele ya boko kuna daraja la mpaka wa Dar na Pwani, makao makuu ya mkoa ya mkoa yako kibaha. Ambapo ili mtu wa kibaha afike baadhi ya maeneo ya mkoa huu ni lazima apite katikati ya Daresalaam. Ushauri wangu huu mkoa ungekuwa absorbed na mkoa wa Dar ukizingatia mkoa wa Dar ni miongoni mwa mikoa midogo, kutoka katikati ya mji huwezi kutembea zaidi ya kilometa arobaini utajikuta tayari uko mkoa wa pwani ila mikoa mingine unakuta wilaya hadi hadi wilaya ni takribani kilometa 200.
Hiyo sio sababu ya msingi,kikubwa ni kuwa mkoa una mapori mengi ambayo yanamilikiwa lakini hayaendelezwi,chukulia tu pale Maili moja unapopita kuelekea Picha ya ndege,sio hapo tu maeneo mengi ni mapori na machaka.
 
Huu mkoa umekaa kama pweza yaani umetawanyika, kiasi kwamba hata kuichora ramani yake inakuwa ngumu kidogo ukiwa Dar barabara zote kuu zakutoka mkoani zinapita mkoa wa pwani ie kusini kuna kilwa road ambapo pwani inaanzia mbele kidogo ya kongowe, kaskazini kama sikosei pwani inagawanyika, kuanzia pale kibaha mizani mpaka kuelekea bwawani (morogoro road)yote ni mkoa wa pwani, ambapo ukifuata hii barabara ya segera pwani inaenda kupakana na mkoa wa Tanga nadhani ni daraja la kuingia mkata, ukija nyerere road pwani ni kisarawe ambapo chanika ni Dar ea salaam, haya ukipita bagamoyo road pale mbele ya boko kuna daraja la mpaka wa Dar na Pwani, makao makuu ya mkoa ya mkoa yako kibaha. Ambapo ili mtu wa kibaha afike baadhi ya maeneo ya mkoa huu ni lazima apite katikati ya Daresalaam. Ushauri wangu huu mkoa ungekuwa absorbed na mkoa wa Dar ukizingatia mkoa wa Dar ni miongoni mwa mikoa midogo, kutoka katikati ya mji huwezi kutembea zaidi ya kilometa arobaini utajikuta tayari uko mkoa wa pwani ila mikoa mingine unakuta wilaya hadi hadi wilaya ni takribani kilometa 200.
Hivi waziri anayehusika na usalama amefanya stretegy gani kudhibiti hili. Wote tunakumbuka matatizi ya wasomali wa kule Arusha ni tatizo ambalo lilionekana kama haliwezi kuisha. Lakini mbinu ilipangwa wakafurushwa woet na sasa ni historia sasa hawa tena wanatoa kabisa Matamko.. No way! Hii haikubaliki hata kidogo. Tunaweka Rehani Vijana wetu. polisi wetu haikubaliki hata kidogo. No not in Tanzania! operation Maalumu ifanyike iwakamate wahusika hatutaki kusikia kitu kingine.
 
Huu mkoa umekaa kama pweza yaani umetawanyika, kiasi kwamba hata kuichora ramani yake inakuwa ngumu kidogo ukiwa Dar barabara zote kuu zakutoka mkoani zinapita mkoa wa pwani ie kusini kuna kilwa road ambapo pwani inaanzia mbele kidogo ya kongowe, kaskazini kama sikosei pwani inagawanyika, kuanzia pale kibaha mizani mpaka kuelekea bwawani (morogoro road)yote ni mkoa wa pwani, ambapo ukifuata hii barabara ya segera pwani inaenda kupakana na mkoa wa Tanga nadhani ni daraja la kuingia mkata, ukija nyerere road pwani ni kisarawe ambapo chanika ni Dar ea salaam, haya ukipita bagamoyo road pale mbele ya boko kuna daraja la mpaka wa Dar na Pwani, makao makuu ya mkoa ya mkoa yako kibaha. Ambapo ili mtu wa kibaha afike baadhi ya maeneo ya mkoa huu ni lazima apite katikati ya Daresalaam. Ushauri wangu huu mkoa ungekuwa absorbed na mkoa wa Dar ukizingatia mkoa wa Dar ni miongoni mwa mikoa midogo, kutoka katikati ya mji huwezi kutembea zaidi ya kilometa arobaini utajikuta tayari uko mkoa wa pwani ila mikoa mingine unakuta wilaya hadi hadi wilaya ni takribani kilometa 200.

Huu tu Mkoa wetu wa Dar es Salaam tulionao unatushinda huku ' tunatekana ' hovyo na ' watekaji ' hawajulikani sasa iweje tukiujumuisha na huo Mkoa wa Pwani Mkuu si ndiyo itakuwa balaa? Acha tu wabaki na Mkoa wao wa Pwani na wenye Mamlaka na huo Mkoa wakae chini wajitafakari na wajipange.

Na kabla ya kushauri kuwa huo Mkoa wa Pwani ujumuishwe na Mkoa wa Dar es Salaam kutokana tu na haya ' matukio ' ya uvunjifu wa Kiusalama ya hivi karibuni pia tujiulize kuwa ni kwanini miaka yote tokea Uhuru huo Mkoa upo hivyo lakini hatukuwahi kusikia historia mbaya ya aina hii? Iweje sasa?

Mkuu kama utakuwa kila mara unasema Mikoa isiyo na Usalama mzuri au imekaa vibaya Kijiografia iunganishwe administratively kutakuwa sasa hakuna maana ya kuwa na Mikoa nchini Tanzania? Kwahiyo Mkoa wa Morogoro ukiwa na machafuko kama haya ya Mkoa Pwani kwahiyo na wenyewe uunganishwe na Mikoa jirani ya Dodoma au Iringa?

Mimi nadhani la msingi hapa ni Waziri husika Nchemba, Mkuu wa Jeshi la Police Mangu na Mkuu wa Mkoa wa Pwani wote kwa ujumla wao watuambie ni kwanini eneo la Mkuranga sasa limekuwa ni ' danger zone ' na kwamba kwanini wao kama wao ambao ndiyo wenye Mamlaka ya Kiulinzi na Kiusalama wameshindwa kulimaliza ili labda ulinzi wa eneo hilo sasa ipewe Taasisi nyingine ya juu yao.
 
Tatizo sio umbo la mkoa,
inatakiwa watu wakae mezani na kukuna kichwa tatizo liko wapi,
wausome vizuri huo mkoa ,history,geography yake,physical na biology na even chemisty yake,siasa zake majibu lazima watayapata tu
 
Sijui kama umenielewa naomba nieleweke kuwa sijazungumzia kilichotokea kwa askari wetu nazungumzia physical security, pengine bandiko ndio limekuja wakati mbaya, kama unaishi Dar utakuwa umenielewa, vinginevyo angalia ramani uone mkuranga ipo wapi, kisarawe ipo wapi, mkata ìpo wapi, bagamoyo ip wapi mafia ipo wapi jaribu kuimagine makao makuu ya mkoa yako kibaha ila mpaka ufike kibaha kutoka maeneo ya kisarawe ni mpaka upitie Dar au upitie barabara fulani ambayo huwa haipitiki kipindi cha mvua ....kwa ukubwa Dar ina kilometa ngapi za mraba ukilinganisha na mikoa mingine?
 
Sio sababu! Arusha jiji nayo imezungukwa kila upande na Arumeru lakini mbona mambo shwari. Damu za Masheikh wanaoteseka mikononi mwa Polisi zitalipwa kwa damu za haohao Polisi.
 
Screenshot_2017-04-14-14-22-16.png

Naomba uangalie ukubwa wa Dar ukilinganisha na mikoa mingine kisha kama bado hujanielewa ngoja nikutafutie na ramani ya mkoa wa pwani
 
Sijui kama umenielewa naomba nieleweke kuwa sijazungumzia kilichotokea kwa askari wetu nazungumzia physical security, pengine bandiko ndio limekuja wakati mbaya, kama unaishi Dar utakuwa umenielewa, vinginevyo angalia ramani uone mkuranga ipo wapi, kisarawe ipo wapi, mkata ìpo wapi, bagamoyo ip wapi mafia ipo wapi jaribu kuimagine makao makuu ya mkoa yako kibaha ila mpaka ufike kibaha kutoka maeneo ya kisarawe ni mpaka upitie Dar au upitie barabara fulani ambayo huwa haipitiki kipindi cha mvua ....kwa ukubwa Dar ina kilometa ngapi za mraba ukilinganisha na mikoa mingine?

Nimekuelewa vizuri tu na ndiyo maana nami pia nikatoa wazo langu. Yawezekana hujalisoma vizuri na kulielewa bandiko langu kisha ukaelewa logic behind it ni nini. Si vibaya ukapitia tena nilichokiandika labda unaweza ukakielewa vizuri na tukaenda sawa.
 
Haya asante
 
Mkoa wa DAR ES SALAA ulitoka mkoa wa Pwani. Yaani mwaka 1974 Mkoa wa Dar es salaam ulianzishwa ,kabla ya hapo ulikuwa ni mkoa mmoja wa Pwani.
Labda upendekeze ugawanywe upya yaani Wilaya za Kibaha, Bagamoyo na Chalinze uwe mkoa, na Wilaya za Kisarawe, Mkuranga, Rufiji na Mafia uwe mkoa mwingine.
 
View attachment 495675

Naomba uangalie ukubwa wa Dar ukilinganisha na mikoa mingine kisha kama bado hujanielewa ngoja nikutafutie na ramani ya mkoa wa pwani

Hizo ramani kila Mtu anazo tena hadi za Mbiguni wengine pia tunazo Mkuu ILA kubwa hapa ni kueleweshana tu ' Kihoja ' zaidi nini kifanyike ili kukomesha huu ' uhalifu ' wa huko Mkuranga Mkoani Pwani ambao sasa unaanza kuota mizizi na hata kutishia amani ya nchi yetu ambayo kokote duniani inasifika kuwa ni ' the land of peace '. Strategically na Politically kabisa sidhani kama hilo wazo lako litakubaliwa na ndiyo maana hata katika maelezo yangu nimekuambia tu kuwa wenye Mamlaka na wana Mkoa wa Pwani wote wakae chini watafute suluhisho la kudumu ya huo uhalifu lakini kusema huo Mkoa uunganishwe Kwangu Mimi naona ni hoja nyepesi katika suala gumu na lenye unyeti wake hasa Kiusalama.

Hata nchi za Rwanda na Burundi nazo kutokana na aina yao ya uhalifu huko nyuma walitaka nao kufanya kama hivi ulivyoshauri Wewe lakini wakashindana na ikashindikana lakini cha kushangaza Rwanda wao kama wao wakajipanga na kumaliza tofauti zao na hatimaye sasa nchi yao imesimama ILA Burrundi ambao ' walizubaa ' na kulewa na uroho wa Madaraka wa Kisiasa hadi sasa wana ' mbwela mbwela ' tu Kiusalama na siwezi kuitofautisha Mkuranga na Bujumbura kwa yanayotokea ' Kiuhalifu '.
 
Mi sijui tofauti zozote nisaidie kutujuza mkuu kwa faida ya taifa lako. Nacho zungumza ni physical security liangalie hili neno kwenye kamusi limamaana kubwa sana kiusalama yaani hata kama kweli kuna hizo tofauti kwa nini itokee pwani tu ukiacha lile la stakishari? Ni kwa sababu kuna easy getaway access mtu akifanya tukio mkuranga kumpata ni
Mpaka makao makuu ya mkoa wakipewa taarifa yaani kibaha inakuwa ni ngumu kupredict hao wahalifu wametorokea wapi wanaweza kwenda mafia wanaweza kwenda kilwa wanaweza kupitia njia ya kwa tibaigana ambayo inatokea mvuti kisarawe mlandizi bagamoyo sadani Tanga mpaka mombasa hizo ni baadhi tu ya escape routes
 
Mi sijui tofauti zozote nisaidie kutujuza mkuu kwa faida ya taifa lako. Nacho zungumza ni physical security liangalie hili neno kwenye kamusi limamaana kubwa sana kiusalama yaani hata kama kweli kuna hizo tofauti kwa nini itokee pwani tu ukiacha lile la stakishari? Ni kwa sababu kuna easy getaway access mtu akifanya tukio mkuranga kumpata ni hata makao makuu ya mkoa wakipewa taarifa kutoka kibaha inakuwa no ngumu kupredict hao wahalifu wametorokea wapi wanaweza kwenda mafia wanaweza kwenda kilwa wanaweza kupitia njia ya kwa tibaigana ambayo inatokea mvuti kisarawe mlandizi bagamoyo sadani Tanga mpaka mombasa hizo ni baadhi tu ya escape routes

Ngoja nimalize kwanza ' kuwaomboleza ' hawa Askari Police wetu waliopoteza maisha yao halafu nitarudi Kwako baadae tafadhali.
 
Back
Top Bottom