Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,073
Pamoja na kwamba tukio la kuuawa kwa askari polisi huko mkoani Pwani ni baya na la kusikitisha, kumekuwa na taarifa kwenye vyombo vya habari kwamba washukiwa wanne wameshauliwa na jeshi la polisi (Washukiwa 4 wa mauaji ya polisi Tanzania wauawa - BBC Swahili).
Swali langu ni je hili nalo ni sahihi?
Basic tenet ya sheria ni kwamba everyone is "INNOCENT UNTIL PROVEN GUILTY".
Two wrongs don't make a right.
We need to end EXTRA-JUDICIAL KILLINGS by the police na tufuate DUE PROCESS OF THE LAW!
Natumai tume ya haki za binadamu mtalikemea hili.
UPDATE: Jeshi la polisi lafanikiwa kuwauwa majambazi manne na kurejeshi baadhi ya silaha zilizo porwa
Media need to do proper reporting