X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,344
- 14,114
Nimekuwa nikichunguza kwa kina uongozi uliopita nichokigundua kuna system kubwa yenye mamlaka ya urais duniani au hapa nchini. Tizama picha hii
Mlinzi wa mheshimiwa Rais msataafu Dk.J.K.MRISHO ndie huyu huyu anae mlinda rais wa sasa. swali kwanini rais amerisishwa mlinzi wake?
Maana nadhani ata kipindi kile cha mwanzo cha utawala wa MH.DK.J.K.MRISHO mlinzi wake alimrisi kutoka kwa Mkapa.
Sasa kwanini kiongozi akiingia madalakani asiingie na mlinzi yeyote anayempenda yeye? Kama anao uwezo wa kuteua viongozi wake wakuu kwanini achaguliwe mlinzi wa kumlinda?