Kwa walofunga kwaresma, 40 inaisha lini

dan yah

Senior Member
Apr 14, 2017
103
62
Habari wadau kwa wenzangu wakristo hivi tunaanza kufungua lini kama ulifunga arubaini ya kwaresma
 
Habari wadau kwa wenzangu wakristo ivi tunaanza kufungua lini kama ulifunga arubaini ya kwaresma
Salaam ndugu. Tunamalizia Kwaresma leo na tunafungulia jioni ya leo baada ya kufuturu. Nawatakia Pasaka njema.
 
Salaam ndugu. Tunamalizia Kwaresma leo na tunafungulia jioni ya leo baada ya kufuturu. Nawatakia Pasaka njema.
Nashukuru kwa majibu Leo sangapi unaweza kuwa free kama waaalikwa maali unapata na msosi bia and so on
 
Back
Top Bottom