Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Niliwahi kuandika humu ndani kuwa tujijengee utamaduni wa kukataa kuua askari kwa sababu yoyote ile. Katika jamii zetu kuna watu wengi ambao wamepitia dhuluma kubwa wakiwa mikononi mwa polisi.Kuna...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Naishauri serikari sasa ijikite kuwekeza vijijini ambako kilimo kinaweza kuwa msaada wa uchumi wetu kuliko kuwekeza zaidi dar es salaam mfano kama ujenzi wa flyovers, mwendokasi nk. ambavyo havina...
0 Reactions
0 Replies
580 Views
KESI YA MAUWAJI YA YESU Dola Indidis ni mwanasheria kutoka Kenya aliyeishtaki Israel kwa kumuua Yesu). nadai hakuipeleka kesi mahakamani kwa misingi ya kidini bali kwa misingi ya Kisheria...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za sikukuu wapendwa, Sorry Mbona me nashindwa kubadilisha email??? Naenda pale kwenye update email naweka email ya zamani. Naweka na mpya ila nikiupdate inakataa. Hainipi jibu lolote
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu Natumia simu aina ya HUAWEI y520 Simu hii imekuwa ikikumbwa na ta tatizo na kunitolea ujumbe unaosomeka kwamba unfortunatly phone apps has stoped huku ukipoteza network na simu kushindwa...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Dunia inapitia wakati mgumu sana kwa sasa. TB JOSHUA,katika mahubiri yake,amesema ameota. Amesema ya kwamba ameona katika njozi,mshale ukitupwa kutoka Korea Kaskazin ukielekea mataifa mengine...
0 Reactions
5 Replies
903 Views
Habari za jioni, Baada ya tukio la kuuliwa askari wetu, jana nilishuhudia kwa macho yangu mwenyewe baadhi ya vijana wakiwa wamelazwa chini huku wakichapwa bakora. Leo hii watu hapa bungu...
15 Reactions
98 Replies
10K Views
Vyoo vya tanroad mbezi mwisho kituo cha mabasi wanafanya biashara au huduma... maana sijawahiona huduma ya choo haja ndogo tsh 500 na haja kubwa 1000 duh.. yaani kama mgeni ndio unafika huna hiyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni wiki ya 2 sasa Wauzaji wa jumla, Riquor stores na mabaa hayana Konyagi ndogo na ile Valeur ya chupa. Au ndio na zenyewe mmezipiga ban? Maana walipofungia viroba, hizi chupa ndogo ndogo ndio...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndugu IGP kwanza nikupe pole kwa msiba huu mzito huu msiba niwetu. Kila mtanzania ameguswa na tukio hili . hakuna mtanzania anaye wezafurahia juu ya kuuwawa kwa ndugu zake imetuumiza sana. Lakini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za asubuhi waungwana. Nimefika kijijini kwetu kwenda kutembea hatimae nikaenda kwenye cha father kanieleza shida yake ya kuhuaiana na printer kwamba haileti moto. Sasa naomba msaada wenu...
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema, waliokuwepo tumeshuhudia haya!!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwalimu juliusi Mkapa Mrisho Mseven Mgabe Mbeki Nk....
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Taarifa ya habari lakini wanaweka makala ya mtoto anayefundisha wenzake karibu robo saa.. Sasa hakuna habari ingine ya maana zaidi ya huyo mtoto...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Ndugu zangu watumishi wa Mungu nawasalimu kwa jina la Yesu. Napenda kuchukua fursa hii kutoa ushauri kidogo juu ya huduma mnayoitoa. Mimi si mtaalam sana wa kupangilia mambo lakini najua kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna tatizo la kimitambo katika hizi redio mbili. Huwa napenda kusikiliza vipindi hasa MAZUNGUMZO YA FAMILIA radio one. Ila leo naona hawasikiki huku mara. Nimejaribu online pia siwapati...
1 Reactions
0 Replies
687 Views
Usiniulize nimejuaje.. Ama kwanini nimeuliza.. Ama hawapendani katika mlengo gani.. Kila sehemu ya maisha tu wao hawapendani. Mifano iko mingi na haihitaji degree ya Sociology kuelewa hili...
2 Reactions
49 Replies
7K Views
Wakuu, huyu ni member mwenzetu hapa JF amefiwa na mtoto wake leo saa 10 jioni wakiwa njiani kumpelekwa hospitali. Chanzo: Mimi mwenyewe niko eneo la tukio. Wakuu kesho nitaweka hapa siku ya...
6 Reactions
113 Replies
8K Views
Nawatakieni Pasaka Njema ndugu zangu watanzania. Tusisahau kuniombea taifa na viongozi Wetu. Tusisahau kujitathimini upya ktk Maisha yetu mawazo na matendo yetu. Mi nitakuwepo nyumbani...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Yanga Jana wameayaaga rasmi mashindano baada ya kufungwa mabao matatu Kwa sifuri, licha ya kujitahidi na kupata ushindi hapa nyumbani, ukiangalia tuu Kwa jicho pevu utaona yanga hawakuwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom