Mfuko wa mikopo kwa watumishi

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,726
3,762
Wana JF habari,

Hivi kumbe watumishi wana mfuko ambao unaweza kuwakopesha?

Tujuzane kidogo juu ya huu mfuko.

Msimamizi ni nani?
Nani anaweza kukopa?
Kwa sifa zipi?
Taratibu za kukopa zikoje?
Dhamana ya mkopo ni kitu gani?
Mkopo unatolewa kuanzia Shilingi ngapi?

Msaada, kwa faida ya wengi pliz.
 
Ni muhimu watumishi wakaelimishwa kuhusu fursa hii muhimu kwa maendeleo yao.
 
Ngoja wajuzi waje, miaka 18 yangu ya utumishi sijawahi kusikia hili jambo.
 
Back
Top Bottom