Kwako Ijumaa Kuu ina maana gani?

Kwako Ijumaa Kuu ina maana gani?

kethika

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
630
Reaction score
472
Kuna tafsiri nyingi kuhusu ijumaa kuu. Je kwako unaitafsirije hii siku?
 
"UKIONA KITU HAKIKUPENDEZI, HAKIKO KWA AJILI YAKO"
 
haina maana yoyote its just a day like other days...
 
Ni imani ya mtu...... Ni vigumu kwa asiye wa imani Fulani kuielewa ijumaa kuu........ Kwa hiyo mleta mada utakutana na majibu mengi sana...... Kikubwa unachopaswa kujua ni IMANI hiyo.
 
Ni imani ya mtu...... Ni vigumu kwa asiye wa imani Fulani kuielewa ijumaa kuu........ Kwa hiyo mleta mada utakutana na majibu mengi sana...... Kikubwa unachopaswa kujua ni IMANI hiyo.
NI KWELI NA MIE NAYAONA!
 
Kila mtu ana Imani yake katika dini yake
Maamuzi na tafsiri ya nini juu ya nini inapaswa kujadiliwa na watu wenye imani sawa vinginevyo itakuwani kuchanganya maji na mafuta
 
Back
Top Bottom