Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari Wana Jf! Ni barabara gani rahisi ambayo haina usumbufu na rahisi kufika Tanga Kutokea Musoma. (1) Musoma~serenget~ngorongoro~arusha~moshi~ Tanga. (2) Musoma~ Mwanza~ Shy~ Sngda~ Arsha~...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Idara ya kilimo,mifugo na ushirika wilaya ya Makete nashindwa kuielewa kabisa. Kila OC ikiingia matumizi yake sijui yanaelekea wapi? Inasemekana kuna pesa iliwahi kupigwa na idara ikabaki na deni...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kwanza nitamke kuwa nimesikitishwa sana na tukio la kuuawa kwa askari polisi wetu wanane huko mkoa wa Pwani. Niwatakie familia zao faraja itokayo kwa Mungu katika mapito haya ambayo sii mepesi...
4 Reactions
71 Replies
8K Views
Husika na kichwa cha uzi hapo juu, nahitaji kiwanja chenye ukubwa wa 20 kwa 20 maeneo ya Kivule. Mwenye nacho anitaarifu. Madalali tulieni uzi hauwausu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. DAUDI ALBERT BASHITE kuvamia na kubaka free flow of mass media 2. Kutenguliwa uwaziri kwa mheshimiwa Nape Mp wa jimbo la mtama pamoja na kutishiwa na silaha na mtu ambaye serikali imeshindwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa kile nilichokishuhudia jana na leo wakati nahangaika kutumia huduma ya mtandao TCU na NACTE nalazimika kusema TCRA na serikali yetu kwa ujumla imezidi tambo na mbwembwe zisizo na tija...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wengi wa Wanafunzi ama waliopo au hata wale waliomaliza kusoma Vyuo Vikuu na sasa wapo Makazini ni kwamba hawakupitia mfumo wa Elimu uliozoeleka ambao ni wa kumaliza Form Four kisha kwenda Form...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Prof. Eliuti Mwageni, ambaye ni Kaimu Katibu Mkuu wa TCU, leo usiku kupitia kipindi cha jungu kuu TBC Taifa, redio; Amesema walio kuwa na tatizo na vigezo vya kuingia vyuoni ni kasoro ndogo...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
kuna technology mpya na rahisi ya utengenezaji magari, watanzania tuanzishe hii miradi tuanze kutengeneza magari yetu wenyewe kwa kununua "car assembly plants" [Hot Item] Car Production Assembly...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pole na Majukumu ya ujenzi wa Taifa Mhe. Rais Nina ushauri mdogo kwako kama kiongozi wangu wa Nchi, na nishukuru mitandao ya kijamii kunipa hii fursa. Naomba nijikite kwenye swala la "MTU...
52 Reactions
146 Replies
18K Views
Amani kwenu wanajamvi, Mwenzenu najiuliza hili swali jibu sipati. Waajiriwa hasa wa serikali ndiyo walipa kodi waaminifu zaidi hapa Tanzania, lakini kwa nini hawana ile namba inayotolewa na TRA...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Ni kawaida kusikia kiongozi wa nchi anaweka jiwe la msingi au kufungua jengo au hata choo, je mambo haya huko ulaya yapo? Au wao wanaishi sasa na sisi tunaishi juzi au Jana ya maendeleo Yao? Hebu...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Soli/sole ni sehemu ya chini ya kitu, soli ya kiatu ni sehemu ya chini ya kiatu. Twende kwenye mada, Ni kwanini baadhi ya watu viatu vyao vinaisha upande mmoja tu wa soli na wengine huwezi...
1 Reactions
58 Replies
10K Views
JAYANTILAL Keshavji Chandelier (Sir Andy Chande), amefariki dunia wiki iliyopita. Kwa vyovyote vile, na kwa sababu yoyote, huu ni msiba mkubwa kitaifa. Huyu ni mtu ambaye alikubali kulitumikia...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu nimesafiri mikoa kadhaa ila sehemu ya kula kwa sehemu nyingi ni shida tu, na sehemu nyingine madereva wanafanya makusudi kwasababu kuna kaposho wanapewa, mfano kwa wale wasafiri kutoka...
5 Reactions
49 Replies
8K Views
Salaam kwenu ndugu, Salaam kwenu moderators, Salaam kwa Jamii media group, Salaam.... Salaam! Binadamu tumeumbwa kutawala. Maana yake Usipo jitawala lazima utatawaliwa. Hii haina maana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za maandalizi ya pasaka wapendwa. Turudi kwenye mada kuna uzi nimesoma hapa unasema yule muafrika kwenye mkanda wa yesu alitokea wapi.? Sasa nihitaji kujua Uafrika nini? Kuwa mweusi au...
0 Reactions
2 Replies
955 Views
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Wilaya ya kalambo kuna basi linaitwa kasitu express linafanya masafa yake kati ya Mtutumbe, Matai na Sumbawanga manispaa linaanza safari zake huko Mtutumbe saa nane ya asubuhi linafika matai saa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Watu watatu wameuwa katika Daraja la Mkapa inadaiwa watu hao waliokuwa kwenye pikipiki huku wamefunika nyuso zao kisha walikataa amri ya Jeshi la Polisi iliyowataka wasimame...
9 Reactions
284 Replies
25K Views
Back
Top Bottom