buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 4,643
- 11,218
mada tajwa yajieleza
wiki mbili zilizopita nimetoka shule likizo (Niko high school) kuja nyumbani nimekuta shemu wangu amejifungua na uwezo wa kufanya kazi hana bas mzigo ukamwangukia mamangu kwa kuwa mama ni mtu wa kusaka maisha mzigo ukaniangukia me mshikaji wa high school dah kazi ni hatar kuamka mida ya popo kuingia nyumban kufata maji kisha kuandaa mboga kupika Milo miwili moja ya familia mbili wa shemu ni balaa had natamani nisingekuwa najua kupika japo ni nikijana mkubwa km miaka 20 bado heshima yangu kwa mama iko palepale anaponiambia nifate maji siwez Ona haya kisiman kwa sababu staki muumiza kwa kumwachia kazi ngumu ambazo nimejifunza afanye peke yake hivyo bas wakuu nawaambia
kazi za wanawake ni ngumu tusiwalalamikie Bali tuwaonee huruma kwani stress za kufanya kazi hiz kwa mwanaume ni ngumu had utatamani kuwa na mfanyakaz wa ndani dahi
[HASHTAG]#respecttowomen2017[/HASHTAG]