TANZIA: Mganga Mkuu mstaafu wa Serikali, Profesa Phillip Hiza afariki dunia

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,720
215,778


Professor Hiza amefariki Jumatatu 27 March 2017 katika hospitali ya Muhimbili. Alikuwa mmoja wa walimu wa kwanza baada ya uhuru pale Muhimbili. Mazishi yake yatafanyika kijijini kwake Misalai Muheza Tanga.

DEATH ANNOUNCEMENT

It is with great sadness that we announce the death of Prof. Philip Robert Hiza, of Makongo Juu in Dar es salaam which occurred on Monday March 27, 2017 at the Muhimbili National Hospital in the City.

The deceased's body will be moved to the late Prof. Hiza's residency on Friday March 31, 2017 for last respects vigil, to be followed by a special mass at St. Alban's Church on Saturday April 1, 2017 at 13:00Hrs.

The burial ceremony will take place at Misalai,
Amani in Tanga on Sunday April 2, 2017.

Prof. Hiza leaves to mourn, his widow, Mrs. Eileen Hiza, 3 sons, 4 daughters 15 grandchildren and 3 great grandchildren. Our heartfelt support and prayers go to the family of the Late Prof. Philip Robert Hiza.

For more information, please contact:
1) Caroline Hiza +1 (952) 215-6690
2) David Hiza +1 (952) 649-2474
3) Roby Hiza +255 745555554
4) Paul Meela +255 767909090​
 


Professor Hiza amefariki Jumatatu 27 March 2017 katika hospitali ya Muhimbili. Alikuwa mmoja wa walimu wa kwanza baada ya uhuru pale Muhimbili. Mazishi yake yatafanyika kijijini kwake Misalai Muheza Tanga.

' Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe ', RIP Professor Hiza na poleni sana nyote mlioguswa na Kifo chake.
 
Nishafiwa na dada,kaka,mtoto,babu,bibi,uncle,baba mdogo na mkubwa,shangazi,jirani,lafiki yangu kipenzi,,kwa hiyo sijui afe nani nitaumia,huyo HIZA misimjui na haniumizi
Somebody needs psychological counselling...

Ni ubinadamu tu "kujifanya" kuwa umeumia unaposikia binadamu mwenzako kafa. Life is sacred ndiyo maana inabidi tuonyeshe heshima pale binadamu mwenzetu anapotuaga. Vinginevyo uko sahihi!
 
Rest in Peace Prof. Hiza. Naamini wapo wanafunzi au watu waliofanya nae kazi vyema basi mkatoa wasifu wake lipi jambo alilofanya ambalo litaendelea kuwa asset Kwa taifa.

the way ilivyo ni kama kibaka maarufu tu kafa. Njia pekee ya kumuenzi ni kueneza yale aliyoanzisha, inawezekana pia hayapo anyway.
 
Back
Top Bottom