chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,392
- 24,958
Bomba kubwa la Dawasco linalotiririsha maji machafu baharini likiwa limepasuka mwanzonina kusababisha vinyesi kutapakaa kando kando ya ufukwe wa Bahari Hindi eneo la Magogoni, hali hii inatishia usalama wa afya za watumiaji wa maji hayo, wakiwemo wavuvi wanaoyatumia kwa kuoshea samaki eneo la Feri.
Kwa wale tunaokula samaki kutoka maeneo ya feri, unadhani afya zetu ziko salama kwa kipindi hiki?
Chanzo : EATV
Kwa wale tunaokula samaki kutoka maeneo ya feri, unadhani afya zetu ziko salama kwa kipindi hiki?
Chanzo : EATV