Phd Hewa
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 572
- 466
Eh Menyezi mungu tunusuru na majanga kama haya pia inusuru nchi yetu na mabaya/
Wabaya wanaoingalia nchi yetu kwa jicho la ubaya wasifanikiwe.
Watie nguvu ndugu family na marafiki wa askari wote waliouawa kwa matukio Kama haya najua nguvu kazi na tegemezi kwa taifa imeangamia chonde chonde watie nguvu waja wako Amin..............
Pia tuwaombe wananchi kutoa ushirikiano yanapotokea matatizo Kama haya ili yasiweze kujirudia tena.
Mwisho ushauri kwa jeshi la Police matukio Kama haya yataisha endapo yakiwepo maelewano ya dhati kwa wananchi na vyombo vyote vya Usalama kwa kutenda haki sawa kwa wote.