barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,375
- 29,732
Habari zenu,
Kama nilivyosema katika kichwa cha habari,
Sina mengi ya kusema zaidi ya kuwapongeza ITV Super Brand kwa kutupatia hii huduma. Mmejisogeza zaidi kwa wateja wenu. Jana na leo habari nimeangalia katika simu yangu tena katika basi mwendo kasi. Big up sana.
Azam nao wana app yao ila sijajua ni kwa simu yangu tu au aina ya mtandao nitumiao au mitambo yao ila ina scratches kupita kiasi hivyo si-enjoy. ITV ipo clear sana na hamna scratches hata kidogo, ni mwendo mdundo earphone on na unahabarika popote.
Big up sana Mzee Mengi na team yako!