Ni muda sasa tangu Hospitali ya kisasa na yenye hadhi ya juu kabisa ktk eneo la mloganzila ikamilike, je Hospitali hiyo ya kisasa itafunguliwa lini ili wananchi waanze kupata Huduma za afya?
Hongera kwa serikali kwa kukamilisha mradi huo mkubwa na wa kisasa ambao kwa hakika utapunguza msongamano ktk Hospitali ya Muhimbili. Hivyo hakuna budi kwa serikali kuhakikisha Hospitali hiyo inakuwa na manufaa makubwa kwa watanzania na kwa nchi jirani.