Kuna watu wanalala vibaya, husababishwa na nini?

kaseva

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
473
305
Wakuu,

Unakuta mtu umelala naye anakuchorea 7, mara achore 6, amelala upande huu asubuhi kaamkia kule kaaah!
 

Attachments

  • Screenshot_20170414-123128.png
    Screenshot_20170414-123128.png
    279.4 KB · Views: 19
Kwani umetekwa au kuna mtu anakulazisha ulale na mtu?

Ungeweka na picha ungeeleweka zaidi.
Mshaweka picha ya dear wangu hapo juu.
Kwa kumtazama waweza pata picha ya chama cha walala vibaya Tanzania (CHAWALALAVITA)
 
Back
Top Bottom