Msemajiwao
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 670
- 1,664
Nimebahatika kupita pita maeneo ya vituo vya polisi; hususani siku za wikend nikavutiwa na vile vijana Wa kazi wanapongezwa Kwa vyakula na vinywaji kutokana na kazi nzuri wanayoifanya ya kukusanya mapato usiku na mchana, barabarani na vichochoroni!
Nikamuua kudodosa kidogo, ndipo nikajibiwa Leo kuna ka tafrija kutokana na kazi nzuri! Well done!
"SIPANGIWI WA KUMPONGEZA"
Nikamuua kudodosa kidogo, ndipo nikajibiwa Leo kuna ka tafrija kutokana na kazi nzuri! Well done!
"SIPANGIWI WA KUMPONGEZA"