HaMachiach JF-Expert Member Dec 15, 2015 3,413 6,134 Apr 7, 2017 #1 Hivi nikweli hawa jamaa wanaongea kweli kumlisha faru fausta kwa mwezi ni million 64 na kumlisha faru Ndungai ni million 70
Hivi nikweli hawa jamaa wanaongea kweli kumlisha faru fausta kwa mwezi ni million 64 na kumlisha faru Ndungai ni million 70
Wong Fei JF-Expert Member Apr 13, 2016 4,819 6,464 Apr 7, 2017 #2 BIASHARA KICHAA HII. Anatia hasara nchi inabid amfuate mumewe John tu
titimunda JF-Expert Member Nov 26, 2014 7,571 9,782 Apr 14, 2017 #3 Nchi hii wanyama wanaishi vizuri kuliko watu