Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watu watatu wameuwa katika Daraja la Mkapa inadaiwa watu hao waliokuwa kwenye pikipiki huku wamefunika nyuso zao kisha walikataa amri ya Jeshi la Polisi iliyowataka wasimame...
9 Reactions
284 Replies
25K Views
Kuna ajali imelipotiwa saa 2240 ya terehe 13/04/17 imetokea kijiji cha mbwewe walikuwana gari binafsi aina ya RAV 4 namba ya usajili T455 CLA ikihusisha namba T609 ATW scania Askari walikua...
1 Reactions
165 Replies
35K Views
Jaman Watanzania TRAFIC WA PALE SANT PETER CHURCH wanataka Rushwa kwa lazima na chini ya elfu 20 wanakataa,Wanalazimisha makosa hasa Trafic Salom.Ni kero na ni mradi kwa hawa watu tunaomba...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Wasalaam, Miezi ya 4 mpaka wa 10 ndio miezi ya watu kufunga ndoa na pilika pilika za harusi. Na ndio miezi ambayo huwa na ugomvi na kuchukiana kwa sababu ya wingi wa Kadi za harusi mpaka...
4 Reactions
74 Replies
7K Views
Ni android application, yenye kukusanya watunzi lukuki. Wenye uandishi wa aina tofauti kwenye nyanja ya riwaya, hadithi fupi na machembezo. Si nyiingine bali ni Hadithi App, inayokuwezesha kusoma...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo nilipigiwa simu na namba+255744262524 ambayo wanadai watanipa zawadi ya sh 120,000 na simu aina ya techno c8 na kwamba ningechukua zawadi yangu ktk duka lenu mahali nilipo. Kisha wakaniuliza...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
Heri na iwe kwenu nyote mlioamka muwazima wa afya njema. Mwenzenu nimefufua kaofisi nilikokafunga mwaka jana,ni siku 3 tangu nianze kazi lakini usiku wa kuamkia leo wadokozi...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Wadau nahisi mpo salama, anayefahamu umri was kusitafu kisheria hapa nchini asahihishe nikienda nje kidogo, MTU anaweza sitafu kwa hiari akiwa na miaka 55 na kwa lazima 60. Kwa shule nyingi za...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Zimepita ndege angani mjini kwetu aina ni kama za kivita je ni mazoezi au kwakweli tulio ziona tumeshtushwa mno.kama ni mazoezi muwe mnatutangazia ili tusianguke kwa presha wenzenu
14 Reactions
123 Replies
11K Views
Jamani naomba msaada nifanyeje kuna askari police wa kituo cha bugarama kahama Ameniambia ataniteka Siku ya jmos tarehe 29 kwa sababu aliniomba rushwa ya 50000 sikumpa naomba msaada sifanyeje...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Angalia wastaafu wengi wanapo ondoka kwenye ajira, wengi wanalipwa mafao ya kutosha kuweza angalau kusogeza siku za kuishi. Tatizo la hawa wastaafu wanasahau kuwa siku walipoajiriwa waliapa...
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Kwani haiwezekani eti..
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Polisi wameua majambazi 4 waliohusika na mauaji ya polisi Mbande baada ya kupata taarifa kutoka kwa raia mwema, polisi walimkamata jambazi mmoja na wakamhoji na kukiri kuhusika kwake, kisha...
2 Reactions
106 Replies
15K Views
Nimefurahishwa sana na huduma ya hawa vijana wanaotutengeneza miguu kina dada. Sasa hivi ukisafishwa mguu unapewa offer ya massage bure.Hela zangu zitaishia saluni kusafisha miguu jamani...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Ushauri wangu kwa askari polisi (sio jeshi la polisi, namaanisha waajiriwa na jeshi hilo), matukio haya yanaendelea kutokea Mkuranga na Kibiti hasa ya kupigwa risasi kwa askari polisi na kupolwa...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
JE KWANINI KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA AU ZINAA IMEKATAZWA?SOMA HADI MWISHO KUJUA SABABU *KISAYANSI* Ndani ya manii mna kitu gani kitaalamu. Ndani ya manii mna vitu vikuu vinne: • PROTEIN, •...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mnamo tarehe 3 Machi- 5/machi 2017 akaunti yangu ya tigo pesa ilisomeka nimemnunulia mwenye simu namba 0652013412 vocha. za jumla sh.8000/- nashituka tayari aliisha ramba. Sikuiwekea akaunti hii...
0 Reactions
1 Replies
830 Views
Hawa jamaa wa hovyo sana. Wiki moja imepita nilianza kujiunga na kifurushi cha wiki dakka 31 kwa 2000, baada ya siku mbili wakati natuma text nikaambiwa sina sijajiunga kifurushi chochote...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Nani anarudisha viingilio vya mashabiki waliolipa kutazama soka? Halafu bado tunalaumu wale wanaopenda soka la Ulaya kuliko la ndani?....Kitu cha msingi ni kumshabikia Samatta tu na Ligi Kuu ya...
0 Reactions
3 Replies
944 Views
Hakuna mtu anayejua madhara ya Vita atapenda kusikia Ati Marekani na North Korea wapo kwenye hali ya hatari ya kupigana. Vita haina macho vita haichagui vita haibakizi mtu zaidi ya kuacha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom