Kuongoza nchi si kitu cha mchezo akili nyingi inahitajika ili kuweka mambo sawa. Profesa ni mtu mwenye akili nyingi kwaiyo kigezo kikiwa raisi wa nchi lazima awe profesa labda matatizo mengi...
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawataarifu Wateja wake na Wananchi kwa ujumla kuwa, kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ni muhimu kuchukua tahadhari kwa:-...
hello JF,
leo nimewaza labda tusipewe misaada in monetary form,........
kama tuna shida ya madawa,tuombe madawa sio hela,..........
kama tunahitaji kutengenezewa bara bara,ama computers for...
Mwanamuziki wa injili, Amani Mwasote ahukumiwa kifungo cha miezi 6 jela kwa kumuita mtoto mchawi katika mkutano wa injili uliokuwa ukifanyika katika moja ya maeneo ya mkoa wa Mbeya.
Umoja wa kizazi cha kuhoji Tanzania (UTG) umewasilisha malalamiko kwenye Tume ya Haki za binadamu na Utawala Bora kwa ajili ya kushughulikia matukio ya watu kupotea, kuteswa na wengine miili yao...
Nilikuwa naangalia wimbo wa Chameleone wa Wale Wale nikugundua kuwa viongozi wote wa eneo letu wana majina yanayoanza na "K." Kuna mahali aliiimba Kaguta, Kikwete, Kenyata, Kabila, Kagame...
Ukisikia uonevu wa polisi Tanzania basi hii hapa ni ya mwaka! Chama cha CCM inabidi ijipange kuhususiana na watendakazi wake. Raia hawatawavumilia tena. Kesi za uonevu na unyanyasaji zimezidi! ...
Mnamo tarehe 3 Machi- 5/machi 2017 akaunti yangu ya tigo pesa ilisomeka nimemnunulia mwenye simu namba 0652013412 vocha. za jumla sh.8000/- nashituka tayari aliisha ramba. Sikuiwekea akaunti hii...
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, Nsato Marijani ameongea na waandishi wa habari mchana huu na kutolea ufafanuzi tukio la mauaji ya Askari Polisi 8 lililotokea jana jioni huko...
Mh. Rais pole kwa majukumu ya kila siku kiongozi wangu. Niwe wazi kwamba mimi ni miongoni mwa watanzania wengi walioshtushwa na kusikitishwa na mauaji ya kikatili ya askari pili wanane huko...
Leo nikiwa natoka Arusha kwenda moshi dereva aliyekuwa akiendesha gari letu alipigwa faini kwa kuendesha spidi 56 mahala pa Spidi 50. Nilimuonea huruma kwa sababu hamna gari inayoonyesha spidi...
JAYANTILAL Keshavji Chandelier (Sir Andy Chande), amefariki dunia wiki iliyopita. Kwa vyovyote vile, na kwa sababu yoyote, huu ni msiba mkubwa kitaifa.
Huyu ni mtu ambaye alikubali kulitumikia...
WAZIRI wa mambo ya ndani ya nchi,Mwigulu Nchemba,amesema hawatokubaliana na mtandao,kundi ama mtu anaehusika na kugharimu maisha ya askari ama wananchi wasio na hatia.
Aidha amebainisha kwamba...
Hali yazidi kuwa tete. Hizi habari sio njema sana na ni pigo kubwa sana kwa nchi ya viwanda tuitakayo.
Habari kutoka jikoni zinasema kuwa kampuni ya uzalishaji wa vinywaji baridi ijulikanayo kama...
wakuu kesho naenda zanzibar kutembea tyu nipo na girlfrnd wangu
sehem gan nzur ya kufikia kwajil ya malaz naeza kufikia ya bei ya kawaida kuanzia 10,000,15000,na 25000 ntakuwa huko kwa siku 3...
Tukio hilo limetokea usiku wa saa nane katika Kituo cha Polisi Kimanzichana ambapo askari walikuwa lindo. Wakaja watu kama wanne hivi kwanza wakiwa na mwenzao ana bandeji akijifanya majeruhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.