Ndugu IGP kwanza nikupe pole kwa msiba huu mzito huu msiba niwetu. Kila mtanzania ameguswa na tukio hili . hakuna mtanzania anaye wezafurahia juu ya kuuwawa kwa ndugu zake imetuumiza sana. Lakini...
Habari za asubuhi waungwana.
Nimefika kijijini kwetu kwenda kutembea hatimae nikaenda kwenye cha father kanieleza shida yake ya kuhuaiana na printer kwamba haileti moto.
Sasa naomba msaada wenu...
Ndugu zangu watumishi wa Mungu nawasalimu kwa jina la Yesu. Napenda kuchukua fursa hii kutoa ushauri kidogo juu ya huduma mnayoitoa.
Mimi si mtaalam sana wa kupangilia mambo lakini najua kwa...
Kuna tatizo la kimitambo katika hizi redio mbili. Huwa napenda kusikiliza vipindi hasa MAZUNGUMZO YA FAMILIA radio one. Ila leo naona hawasikiki huku mara. Nimejaribu online pia siwapati...
Usiniulize nimejuaje.. Ama kwanini nimeuliza..
Ama hawapendani katika mlengo gani..
Kila sehemu ya maisha tu wao hawapendani.
Mifano iko mingi na haihitaji degree ya Sociology kuelewa hili...
Wakuu, huyu ni member mwenzetu hapa JF amefiwa na mtoto wake leo saa 10 jioni wakiwa njiani kumpelekwa hospitali.
Chanzo: Mimi mwenyewe niko eneo la tukio.
Wakuu kesho nitaweka hapa siku ya...
Nawatakieni Pasaka Njema ndugu zangu watanzania.
Tusisahau kuniombea taifa na viongozi Wetu.
Tusisahau kujitathimini upya ktk Maisha yetu mawazo na matendo yetu.
Mi nitakuwepo nyumbani...
Yanga Jana wameayaaga rasmi mashindano baada ya kufungwa mabao matatu Kwa sifuri, licha ya kujitahidi na kupata ushindi hapa nyumbani, ukiangalia tuu Kwa jicho pevu utaona yanga hawakuwa na...
Hili swali ukiwauliza wengi watakupa majibu yasiyo sahihi na kati yao tena wasomi kabisa watakwambia dereva mzuri ni yule asiyesikiliza abiria wake wanasemaje[emoji779] [emoji779] [emoji779]sahihi...
Ni chuo kilichoasisiwa na baba wa taifa hayati mwalm JK Nyerere miaka ya 1960 kwalengo la kufundusha maadili kwaviongozi wa umma.kwa wakati huo kilijulikana kama chuo cha kivukoni.chuo hiki...
Ni majuma machache yamepita, jukwaa la Wahariri pamoja na Wamiliki WA vyombo vya habari waliweka msimamo wa kumsusia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa chochote kile, hususani kumpa coverage...
Imenichukua siku kadhaa nikiwaza ni lini Waziri Mwigulu Nchemba na IGP Mangu watajiuzuru au kufutwa kazi. Vifo vya askari wetu kwa kuuliwa na majambazi umekuwa wimbo usiokoma. Yalipotokea mauaji...
Wakuu ningependa kujua ule ujenzi wa kiwanja cha ndege chato ulioanza kwa speed ya roket miezi kama tisa iliyopita, sasa umefikia wapi?
Walioko uko chato mtutupie hata ma selfie ya liuwanja la...
Habari ya Pasaka wana jamvi wa jf.
Baada ya salam nina machache yananipa mashaka juu ya weledi kiutendaji wa jeshi latu la polisi.
Kwanza nalaani vitendo vya mauaji ya askari wetu kwa namna...
Kufuatia TCRA kuzitoza faini ya Tsh 600 million kampuni Kadhaa zinazotoa huduma za mawasiliano kwa kosa la kutoa huduma chini ya kiwango nimejikuta najiuliza maswali yafuatayo?
1.Sisi walaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.