Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Hali yazidi kuwa tete. Hizi habari sio njema sana na ni pigo kubwa sana kwa nchi ya viwanda tuitakayo.
Habari kutoka jikoni zinasema kuwa kampuni ya uzalishaji wa vinywaji baridi ijulikanayo kama Cocacola iko mbioni kukifunga kiwanda chake cha Z'bar kutokana na uzalishaji kutokidhi gharama za uendeshaji.
Sasa baada ya kufunga mahoteli, pigo limehamia kwenye viwanda. Tuendelee kusubiri mpaka hii movie iishe.