Mke Wangu ananiombaushauri nikimshauri ananijia juu

Je tukikushauri na wewe hautatujia juu? maana like attracts like.
 
Umeoa au umeolewa???? Mke anakujia juu kivipi? Mwanaume Kamili mke hawezi kumjia juu we vipi bhana?
 
Next time akikuomba ushaur mwambie huna cha kumshaur.Akikujia juu kwa kutompa ushaur uje tena nikushaur
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom