nipo serious mkuu ntumie namba yake pmKama utakuwa serious kuna mshkaji wangu(huwa nafanya nae kazi) nitakupa mawasiliano yake, yani sijui umtajie chocho gani asiijue, na hata kama utahitaji kuzunguka maeneo ya kihistoria pia anaweza kukusaidia
poa mkuu sio km dar kila kona guestTatizo Zenji hakuna guest house nyingi kwa hiyo jiandaezaidi ya hapo
zenj guest zipo sana mkuu, mimi ni shuhuda cuz jamaa amenifundisha maujanja yote ya kule, sema ndo ivyo tena, lkn laiti kama ningekuwepo, au ungekwenda mwanzon mwa week ijayo mimi nategemea kwenda pia ningekuonyeshapoa mkuu sio km dar kila kona guest
Hizo propaganda mkuu, nimeshatinga guest kibao, kuanzia michenzani, mtendeni, uwanja wa ndege, malindi n.k na kote sijaulizwa fyoko yoyoteMna Ndoa?
Kila utakapoingia utaambiwa uoneshe kadi ya ndoa...muulize hata FaizaFoxy
Kuna hadi guest za buku saba.wakuu kesho naenda zanzibar kutembea tyu nipo na girlfrnd wangu
sehem gan nzur ya kufikia kwajil ya malaz naeza kufikia ya bei ya kawaida kuanzia 10,000,15000,na 25000 ntakuwa huko kwa siku 3
msaada please
hamna patner tuMna Ndoa?
Kila utakapoingia utaambiwa uoneshe kadi ya ndoa...muulize hata FaizaFoxy
kwahiyo nikichukua bodaboda anipeleke haina shida huko guest ?Chakukuhasa tu ni kwamba kama unampango wa kwenda kwenye historical sites, basi angalau uwe na mwenyeji wa kukuelekeza ili uzijue njia vizuri cuz njia za kule stone town unaweza ukapotea na ukazunguka siku nzima bila kujua sehemu ulipo kwasababu majengo ya kule ni mengi alafu yanafanana(hii ilishanitokea nilizunguka zaidi dkk 30 enzi hizo mgeni)
Na pia bila kuwa na mwenyej basi kwenye vivutio na kwenye vyakula watakucharge hela kubwa, otherways labda uwe hauna bajeti ya kimaskini
Poa mkuu, nitafika tu pia ngoja nijipangeHizo propaganda mkuu, nimeshatinga guest kibao, kuanzia michenzani, mtendeni, uwanja wa ndege, malindi n.k na kote sijaulizwa fyoko yoyote
yakheee mambo ya kuulizana vyet vya ndoa ndio sitakiZenji yahke nenda malindiiii atiii,au mtoni utapa guest za bwerere,tafuta dereva tax muambie unataka ya ila iyo watakupeleka
Haina shida, sema labda uongee na tax driver manake bodaboda wengi ni wageni(wakuja) cuz bodaboda zimeanzishwa miaka hii yakaribun, haizidi mitatu.kwahiyo nikichukua bodaboda anipeleke haina shida huko guest ?