BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Msaada wakuu nataka kufika hapoTanzania Commission for Universities(TCU)
Mbona umepewa jibu hapo juu...hata kusema asante.!Msaada wakuu nataka kufika hapoTanzania Commission for Universities(TCU)
Asante sana chiefZipo mlimani tower. Jengo lipo opposite na mlimani city mall
Hahah mkuu sikuiona postMbona umepewa jibu hapo juu...hata kusema asante.!
Rose garden kwa mbele ksma unaelekea kwa Mwalimu walihama?Zipo mlimani tower. Jengo lipo opposite na mlimani city mall
Kuna watu wanasema wamehama sijui ni kweli?Mikocheni, njia ya rose garden.
Opposite na Mlimani City ipo HELSB
Sawa sawaZipo mlimani tower. Jengo lipo opposite na mlimani city mall
Msaada wakuu nataka kufika hapoTanzania Commission for Universities(TCU)
Umebugi.Mikocheni, njia ya rose garden.
Opposite na Mlimani City ipo HELSB
Muongo,HESLAB iko Mwenge,TCU iko jengo lile lile lenye benk ya walimu,ambalo zamani ilikuwepo NSSF .Karibu na Catalunya kwenye madalali wa Magari.opposite na mliman city.Mikocheni, njia ya rose garden.
Opposite na Mlimani City ipo HELSB
Walishahama.Mikocheni, njia ya rose garden.
Opposite na Mlimani City ipo HELSB
Ndio.Kuna watu wanasema wamehama sijui ni kweli?
Google map inaelekeza kwa zamani yaan mikocheni,Mkuu, next time jisumbue kugoogle 'Tanzania Commission for Universities'...ukikwama kupata taarifa za maana then karibu kufungua uzi.
Karibu
Google map inaelekeza kwa zamani yaan mikocheni,
Watu wavivu sana kutafuta taarifa google, sijui ni upeo wao mdogo ama vipi? Watz jmn elimu, elimu, elimu, daaaMkuu, next time jisumbue kugoogle 'Tanzania Commission for Universities'...ukikwama kupata taarifa za maana then karibu kufungua uzi.
Karibu
Mkuu, next time jisumbue kugoogle 'Tanzania Commission for Universities'...ukikwama kupata taarifa za maana then karibu kufungua uzi.
Karibu