Leo ilikuwa siku Ya wafanyakazi dunia ambapo kitaifa ilifanyika mkoani Kilimanjaro Mgeni rasmi akiwa mh Raisi
Sehemu nyingine Wageni rasmi walikuwa wakuu mikoa yao
Lakini mkoa wa Dar es salaam...
Nimetembelea katika jiji la Tanga,nimekumbana na tatizo kubwa la maji.Katika kumbukumbu zangu jiji hili,halijawahi kuwa na tatizo la maji.Inasemekana sasa ni wiki ya pili,maji hayatoki katika...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amepiga marufuku uhamisho wa wafanyakazi bila kuwalipa stahiki zao huku akisema kumekuwa na utaratibu wa kuwahamisha wafanyakazi...
Sarakasi hizi za kiutendaji...uliona wapi malalamiko yako yapitie kwa mlalamikiwa...Necta ni independent organ inabidi uhudumie mteja according to matakwa yake na si hivyo umnavyofanya...
Hii ni...
Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza, inawezekanaje barabara kuu za jiji kama Daresalam zitelekezwe namna ile. Najiuliza hivi viongozi wetu huwa hawaoni wivu wanapotembelea nchi za nje na kuona...
Kwanza nikupongeze rais wangu Magufuli kwa nia njema uliyonayo nikinukuu kauli yako uliyosema
wewe ulikuwa mwalimu na huwezi kusahau hilo. Ukasema wengine wanaweza kusahau (na pengine...
Wanajamvi habari!
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Manyoni Bwana Ismail Maulid mkazi wa kijiji cha Mwanzi amethibitika kukamatwa na Ng`ombe wawili wa wizi wenye thamani ya Tsh Mil...
Naomba tuweke siasa pembeni tufanye jambo la maana na sadaka kwa Mwenyezi Mungu;
Kama utakuwa umeangalia taarifa ya habari ya ITV leo saa mbili usiku kuna taarifa imeoneshwa ya Binti mdogo ambaye...
KAMA TANZANIA NI YA VIWANDA, INAWEZEKANA KWENYE HISA ZA VODACOM.
Ni ukweli usiopingika kuwa Vodacom ni mtandao unaongoza kwa watumiaji wengi zaidi kampuni iliamua kuuza hisa zake ili kutekeleza...
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amewataka vijana kutumia muda wao kujenga utamaduni wa kujisomea vitabu badala ya kupoteza muda wao mwingi katika mitandao ya...
Salaam!
Toka kuwa yangu mpaka uzee huu binafsi sijawahi kuonana viumbe wa ajabu ajabu Mathalani Majini na Mauza uza mengineyo.
Ila nimekuwa nikisikia kwa Watu wengi kuwa haya Mauza uza yapo. Sasa...
UPELELEZI KESI YA WEMA SEPETU WAKAMILIKA
Upelelezi wa kesi ya kukutwa na bhangi inayomkabili Msanii maarufu nchini wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Isaack Sepetu (28) na wenzake wawili akiwemo...
Gharama za kutumia miamala ya simu zinabadilika kila kukicha na hakuna taarifa kwa watumiaji. Kwa sasa ukituma 70,000 kwa tigopesa unakatwa 3,100, hapo kwanza kiwango kilikuwa chini sana nadhani...
Maajabu ya Mwaka 2017..Kijana Miaka 18 Ageuka ‘Mtoto’ Ghafl
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushangaza, wananchi wa Kijiji cha Rokili, Halimashauri ya Wilaya ya Siha mkoani hapa, wapo...
Miaka ya nyuma hofu ya UKIMWI ilikuwa juu sana. Tahadhari zilikuwa kubwa kiasi kwamba kuanzia wazazi hata majirani wakikuona na mtu ambaye haeleweki wanakuonya.
Mara ya Mwisho miaka kadhaa...
Uhakiki wa vyeti vya kitaaluma ulipaswa kuwa wa haki. Uhakiki ulipaswa kuwahusu wote wanaopokea mishahara ya kiserikali. Kuwaacha pembeni Mawaziri, Manaibu Mawaziri, Wakuu wa mikoa, Wakuu wa...
Ukiangalia kwa umakini kuna baadhi ya viongozi tena hasa hawa wa kisiasa huwa wanakurupuka sana wanafanya hata mambo yaliyo juu ya mamlaka na uwezo aliopewa kisheria.
Hivi leo mkoa wa mkoa...
Wakuu habari ya mchana,baada ya mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Pombe Joseph Magufuri kuhudhuria sherehe za may mosi na kupokelewa na mamia kama sio maelfu ya watu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.