Habarini wakuu!!
Niko dilema kidogo wakuu juu ya hii ajira iliyopo mbele yangu.
Nilikuwa nafanya kazi ktk ofisi moja ya mama wa kihindi ikiwa kama ni kampuni ya familia
Nilifanya kwa muda wa...
Habari ya mchana wanajamvi,
Kwa wenye taarifa yoyote kuhusu TV 1 na KF'S kwa upande wa kurusha matangazo, kwasasa muda mwingi nembo ya TV 1 inapotokea katika Televisheni kwa juu inaonekana ya...
Kumradhi ndugu waheshimiwa kama ntakuwa nimewaudhi hususa kwa wale wenzangu wa vyeti feki.
Lengo kuu la uzi huu ni kutaka kujua yupo wapi DJ wetu wa Treni ya Dar es salaam kwenda Pugu?? Natambua...
Kufuatia ongezeko kubwa la bei ya unga Jijini Dar es Salaam na labda sehemu zingine za nchi, sasa ni bayana kuwa ni rahisi mtu kumudu kula wali kuliko kula ugali. Kilo ya unga katika baadhi ya...
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), Dk Yahya Msigwa
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), Dk Yahya Msigwa amesema...
TAHADHARI: Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini(TMA) Imetoa taarifa ya kuendelea kwa vipindi vya mvua kubwa vinavyoambatana na upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa katika maeneo ya mwambao wa Pwani. ...
Wanabodi tuitendee haki nchi yetu na watanzania wenzetu wasio na uwezo wa kumudu gharama kubwa za vyakula hapa nchini kwa sababu ya uhaba wa chakula uliosababishwa na ukame.
Hapa kwetu kijijini...
Wanabodi wenye access na TBC, please watch TBC Live Now, kipindi cha tuambie kinazungumzia matumizi ya kikoa cha .tz (dot.tz), yaani (dot tz domain name).
Mnaweza kufuatilia kupitia...
WanaJF nilikuwa nafatilia suala la Timu ya Lipuli jana na mkuu wa mkoa wa Iringa. Lakini ghafla nikamkumbuka mhe.kasesela mkuu wa wilaya ya Iringa mjini.
Mwanzoni alikuwa maarufu kwa kuvaa...
Kwanza niwape pole kwa kuondokewa na askari wetu 8 kule kibiti Mwenyezi Mungu awahifadhi mahara pema peponi ,ameen
Kuna kijana anajiita Deo lakini kwa uchuguzi wangu nimebaini anaitwa Gidion...
Wazoefu wa ufugaji wa kuku wa nyama habarini za kazi.
Naomba mnisaidie ufafanuzi kwenye masuala haya ambayo nimekosa majawabu ya hakika.
1. Kuna tofauti gani ya gharama ya ufugaji na pia ubora wa...
Heri ya Mei Mosi 2017.!
Wakuu hili sakata la uhakiki limeondoka na ex-boss wangu.Kiukweli nilivyoona jina lake nimesikitika sana kwa sababu ana miaka zaidi ya 25 kwenye utumishi wa Umma na...
Wakuu habari, kuna barua ya muhimu amabayo natakiwa kutumiwa, haifai kutumia e mail wala njia ntingine za electroniki, ila tatizo siana sanduku la barua, mimi nipo Dar na sanduku la barua...
Huwa najiulizaga maswali mengi pale ninapoona sielewi ndo naleta humu!!
Kwa kawaida ndege ndogo zikiwa zinapaa au kutua au zikiwa angani huwa zinapiga sana kelele au zinakuwa na mlio mkubwa...
Habarini wadau,
Nilikuwa na wazo langu la kuanzisha na kurusha kipindi cha burudani cha runinga.Nilifanikiwa kuvitengeneza vipindi vipatavyo sita.Bahati mbaya mtu nliemtegemea kama muongozaji...
Nasikitika na hawa kampuni ya Tigo hususani customer care ukipiga simu kwao hakikisha kupokea baada ya nusu saa, au wasipokee kabisa.
Sasa nini maana ya customer care?
Kuna jamaa yang yuko njia panda kwa kweli.Kipindi wanakagua vyeti yeye hakuenda kukaguliwa hata siku moja.Orodha ya waliogushi vyeti yeye hayumo,shida anawaza yuko salama kweli kwa hili fagio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.