relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,311
- 5,147
Wakuu habari ya mchana,baada ya mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Pombe Joseph Magufuri kuhudhuria sherehe za may mosi na kupokelewa na mamia kama sio maelfu ya watu na wananchi kuacha shughuli zao kumpokea mpendwa Rais wao,vijana wa ufipa wamekosa mjadala ktk hili baada ya kuona mategemeo yao kupoteza uelekeo,na la Leo uwanjani limewamaliza kabisa umati uliofurika tofauti na mapokezi maana ufipa walitegemea wafanyakazi kuzila kwenye sherehe hizo lkn hawakuamini kilichotokea na walichoka waliposikia ongezeko la mishahara,ajira mpya uhamisho fedha mkononi ndo unabeba begi,wamechoka kabisa,Ufipa mkae mjue tu huyu ndio aliyekuwa anasubiliwa na wananchi na kama mnahisi atapoteza uelekeo wananchi tupoteze imani nae msahau,2020 mapema tu anakabidhiwa nchi.