Je, Kuna Ukweli wowote kuwa kwenye Maji mengi MF.Baharini Kuna Mauza uza?

Ndikwega

R I P
Feb 1, 2012
5,979
5,524
Salaam!
Toka kuwa yangu mpaka uzee huu binafsi sijawahi kuonana viumbe wa ajabu ajabu Mathalani Majini na Mauza uza mengineyo.
Ila nimekuwa nikisikia kwa Watu wengi kuwa haya Mauza uza yapo. Sasa wengine wanasema kwenye Maji mengi mfano Bahari, Maziwa na Mito Mikubwa huko ndiko kuna miujizi mingi, yaani viumbe na matukio ya ajabu ajabu unaweza kumbana nao kuliko Nchi kavu ambamo ni nadra.

Ambacho ningependa kujua ni kuwa je, kuna Ukweli na kama Ndivyo kwanini iwe maeneo hayo?
 
Nenda kilwa

Halafu usiku kaa karb na bahari au mita chache .

Utaona mengi usiyoyajua
 
Juzi juzi tu kwenye kipindi cha haki elimu,shule moja huko Iringa waalimu walikuwa walikuwa wanaelezea mauzauza ya hiyo shule.
 
Usijifanyie sanamu ya kuchonga,wala mfano wa kitu chochote kilichopo duniani,wala mbinguni,wala MAJINI CHINI YA DUNIA,usivisujudie wala kuvitumikia!
 
Wafanyao baharini katika melikebu, wafanyao kazi zao katika maji mengi hao huziona kazi za bwana na maajabu yake. Maneno ya biblia hayo
 
Back
Top Bottom